@dkt.ndikumana_1: Imagine kama wanachama wa CHADEMA wanajadili kuchoma mashule ambayo watoto wetu wanasoma, wanapanga kuchoma miundombinu ambayo ndio tunayoitumia kwenye shughuli zetu za kila siku, wanapanga kuharibu mfumo wetu wa maisha yetu ya kila siku wanataka tuingie kwenye machafuko sababu tu wamelipwa na wameahidiwa familia zao kupelekwa ulaya!! Ni dhahili viongozi wa chadema ndio wanawatuma hawa watu, na ni dhahili hayo ndio viongozi wa chadema wanayoyataka kwakua wao watoto na familia zao Zipo ulaya Hatutakubali watuharibie nchi yetu tena!! #siasa #siasazetu #siasatanzania #chadema