@kusanyiko: MUNGU SI DHANA MUNGU YUPO HALISI UTATU NDIO DHANA NA MAWAZO YA WATU#SDAReform #kusanyikoladaressalaam #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #ImaniYaKweli
Yohana 10:38
[38]lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.
2026-06-15 23:53:07
3
faith Jepchirchir :
mnaendelea kupoteza waumini ndacha please mjaribu kufunza iyo utatu kwa njia ilio sahihi.
2026-06-16 19:01:03
1
BONONGA MADDY :
1 yoana 5:7-8
2026-06-16 17:46:18
0
mchome :
ndacha yupo sahihi
2026-06-16 15:35:29
0
Abengison Junior :
Hapa ndacha ameuma nje
2026-06-16 18:27:37
0
Amenbatik :
Ufunuo wa Yohana 1:8
[8]Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
I am Alpha and Omega, the beginning and the ending, saith the Lord, which is, and which was, and which is to come, the Almighty.
2026-06-16 11:53:04
2
pmafterlunch7 :
kulingana na ww ndacha basi tuna Mungu wawili
2026-06-16 16:26:54
0
Samson 🇹🇿🇸🇱 :
Ndacha, Kakengeuka , Maandiko yanasema, Mathayo 28:18-19
[18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
2026-06-16 19:13:32
1
🇰🇪ANGELS® SHOPPING CENTRE🛍️ :
Nilifuatilia huu mjadala wa masaa 3 kwa YouTube, hapa NDACHA NA MASAWE walishindwa kabisa. Yohana 1:1-3, Isaya 9:6 inaonyesha wazi wazi kuwa YESU NI MUNGU tena MKUU
2026-06-16 20:25:40
1
Mbacho Classic :
duu so i means there is Mungu wawili? Yesu Mungu na Mungu Mungu hapana
2026-06-16 18:16:04
0
MD1 danial :
ndach hakuna kitu,,kasome kwanz,,usipoteze watu wa mungu.
2026-06-16 19:30:59
0
Dee mack :
hata comments zakondoo hakuna hawaelewi chochote
2026-06-16 16:45:25
0
user9097684609743 :
🤣🤣
2026-06-16 15:58:47
1
kariuki msabato :
🤣🤣🤣
2026-06-16 19:11:06
0
To see more videos from user @kusanyiko, please go to the Tikwm
homepage.