@janaina_brown:

Janainabrown🦋
Janainabrown🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 22:03:36 GMT
560541
29718
240
211

Music

Download

Comments

user72841801462958
Grad Queen :
hongera kpnz 🙏 lkn nandy mbona anakiogopa! kwani kinafananeje icho kichanga??
2026-06-16 05:32:01
60
irenesingoi275
cute rein3 :
😁 Nandy anavyoshangaaga Sas
2026-06-16 07:36:24
20
neematairo4
Neema Tairo :
nimeipenda hiyo God bless you🥰🥰
2026-06-19 13:42:23
0
user15940579173461
user15940579173461 :
mtoto hajatimia miezi kadogo sana
2026-06-16 16:18:03
6
angel.ikingu
chimama checken 🐓 :
wema ana nyota kama mkoa wake mkoa uliobarikiwa 🥰🥰🥰🥰 hongera dada yet
2026-06-16 08:18:27
28
rabiya.hashim5
Rabiya Hashim :
mungu n mkubwa hongera sana dada angu
2026-06-19 18:30:06
1
5050.t
twinkle 🤍 :
Wema has pure happiness 🥰
2026-06-16 18:57:46
2
rebeccajosephatmusaye
user5451321738165 :
damu. ya Yesu aliye hai iwafunike wewe na mtoto wako AMEN 🙏🙏🥰 we
2026-06-18 16:42:06
6
dr.edna92
Edna :
mungu amefanya miujiza akuna jambo asiloliweza kwake🥰🥰
2026-06-16 06:08:22
14
betie.620
Betie 620🦋🦋 :
5/5
2026-06-16 09:21:31
0
saidi.monica
Saidi Monica :
amen and amen
2026-06-19 09:35:01
0
user4913386920001
Eliada 🙏 :
Mungu akuifadhie mtoto wako
2026-06-18 17:47:36
2
user3156798482826
prisca :
Hongera sanaaa wema sepu MUNGU akulinde
2026-06-18 17:35:04
1
user7224941905109
Barasa Juliet :
Nandi ana robo safi sawa na wema♥️♥️
2026-06-17 11:50:59
4
calorinaomary
Calorina Omary :
mungu nitendee na mm,, mtoto mmoja wakiume wakike umenipa
2026-06-16 18:59:09
2
agness.shaban
Agness Shaban :
❤️❤️❤️❤️wemaa umeniliza na baadae umenifurahishaa. Hongera sana dadaangu hakika Mungu na amekutendea🥰🥰🥰🙏🙏
2026-06-16 06:53:11
5
user4610777121415
diana :
Hakuna jambo linalo mshinda Mungu bali hujibu kwa wakati pale unaposhindwa Mungu huingilia kati Hongera dada wema
2026-06-17 07:37:34
6
rahmaramadhan51
RAHMA 💘❣ :
Atasijui nalia nn mm hongora kpnzi ❤
2026-06-17 06:37:33
1
fai.doll
Fai.doll 🎀 :
hapo ukute wachawi wanawaza neno la kuongea jmni mungu huyu acheni aitwe mungu 🥰🙏
2026-06-15 22:32:36
10
magdalenabenedict58
Magdalena michael benedicti :
Mungu nashukuru kwaajili ya wema umemuheshimisha
2026-06-16 18:20:39
1
m.offici
martha :
Ongera sana dada
2026-06-16 09:51:55
1
beatric573
beatric573 :
Mungu mkubwa nimependa alichomtendea wema
2026-06-16 13:19:18
1
mrs.crement
mrs crement :
Hongera sana dada mungu akukuzie
2026-06-16 08:22:27
2
user373942296873
Piss Linda 🥰🥰 :
ongera sana mungu akukuzie kitoto chako
2026-06-18 10:14:56
1
catherine.joseph21
Miss precious 🌹❤️💴 :
🙏
2026-06-16 07:35:42
1
To see more videos from user @janaina_brown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About