Mke wangu huniita darling, miaka 26 sasa kwenye ndoa
2026-07-16 10:15:49
8
SPORAH :
Dadyyyyyy😅😅😅😅ila Oscar 😂😂😂
2026-06-16 15:23:06
16
MOHAN :
TIKTOK IS BETTER THAN RELATIONSHIP
2026-06-18 15:52:28
23
Oliver🥰 user36 :
chibabaa wangu popote ulipo 🥰🥰
2026-06-20 15:05:04
5
Aurelia :
daddy ni mbaya kwani
2026-07-16 09:24:11
7
giannah :
mbona ndo hua na tumia jaman daddy
2026-08-02 15:37:30
1
BAM TZ :
kwer kabisa
2026-06-16 07:59:15
10
lista Jackson🍎🩵 :
Aiseee sijui nisemaje
2026-06-16 18:23:23
5
agnes_26tng :
kwa kweli umeongea ukweli mtupu
2026-06-16 15:45:50
6
MSAMI :
boraa wangu ananiita msami beby🥰
2026-07-01 13:21:10
3
Lydia Peter :
Sasa tuwaiteje
2026-07-27 20:30:54
1
HAPPY HEALTHY CARE :
mmmm
2026-07-06 13:27:24
1
Rachel's🧑⚕️🧑⚕️ :
Jaman kwann lakini me napenda kumuita daddie mbona ivo lakini sijapenda😭😭😭😭😂😂😂🥰🥰
2026-08-06 16:02:13
1
kambalekiboko :
nikweli baba
2026-07-03 05:15:13
2
doctor abuu :
My wangu jana ameniita my pressure nimeshangaa na nimefikilia vile presha husumbua watu sjapata jibu yani huu nao niwizi promax maana yake mimi ndo Oxgen yake ama nini🤣
2026-08-14 16:17:27
1
kadinal kadinal :
au baa
2026-06-22 20:41:23
3
florah :
😂😂😂sasa uzur wangu hayupo humu na ndio jina nalomuita
2026-07-26 17:26:20
0
pppp :
jaman hadi nalia jaman nimekumbuka ktu
2026-07-03 10:56:45
2
linahgirl7 :
Ila daddy jamn😂
2026-06-23 21:21:55
2
💡HolisticHeals_tz🩺 :
Na anayekuita Mamii?
2026-07-02 16:52:21
2
Elizabeth Mpwani :
Papaa, Babaa, Darling and msweet nmemaliza😂
2026-06-18 08:33:49
3
🌹Nah🥰🥰 :
na wanaoita baba
2026-06-23 18:35:05
2
fayaz :
dadii😂
2026-06-17 18:48:00
2
To see more videos from user @mjuaji_org, please go to the Tikwm
homepage.