jeshi nimoja tu Tanzania 🇹🇿 na ni jw mengine yooote ni idara ya mambo ya ndani hongera sana jwtz jesh la wananchi wa Tanzania TPDF 🇹🇿
2026-06-17 17:47:47
8
millitary dream🕸 :
gonga like hapa kama unaikubal hii myamba
2026-06-16 18:51:31
5
mantz :
walinz wa amani,nchi,katiba na wananchi wake hongereni sana na mungu awape moyo wa uvumilivu,upendo na kuwezq kustahimili magumu yote mnayoyapitia tunasema ahsanteni kwa kujitoa kwa moy wenu mpaka sasa nchi ipo katika amani 💯
2026-06-21 03:36:47
4
Sami_onmic :
siku nikija kuimba hii nyimbo Ndo basi Tena Nshavaa Kitenge