Yohana 10:38
[38]lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.
2026-06-16 04:34:45
5
issagy :
Mnasema Yesu amerithi jina la Baba yake (Mungu) na roho mtakatifu ni roho ya Mungu je mgawanyo huo wote unatoka kwa Mungu Baba nandio maana Yesu na roho mtakatifu vyote vyatoka kwa Baba, kwaiyo ni watakatifu Kama alivyo Mungu. kwa mantiki hiyo ni Mungu baba, Mungu mwana na roho mtakatifu, utatu mtakatifu
2026-06-17 20:19:36
0
JU GO :
well explained and well understood
2026-06-16 05:16:51
3
NUHU JASTINI🔵 :
ameeeeen🙏
2026-06-16 18:14:36
1
James Francis :
Amina
2026-06-17 20:26:47
0
Gedeon Maleka :
napenda utulivu wenu
2026-06-17 05:41:11
1
Shem Ogwankwa :
napenda mafundisho mazuri
2026-06-16 20:39:43
1
pH_org :
nimeupenda mdahalo hauna kelele ni facts tu. hakika Bwana atukuzwe
2026-06-16 12:56:36
1
mwaisumo mtoto :
amina sanaa pastor umeelezea vizur kabisa waache kupindishapindisha neno
2026-06-17 16:44:33
0
Thomas Ngiriabo :
𝚖𝚞𝚗𝚐𝚞 𝚊𝚠𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒𝚔𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚗𝚊𝚠𝚊𝚏𝚊𝚝𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊
2026-06-17 12:48:30
0
Munga Munga :
amen
2026-06-16 17:59:20
0
famajega :
Yes si Mungu
2026-06-16 17:44:06
0
Dickson Kyaruzi :
Amen watu wa Mungu
2026-06-16 11:33:17
0
kiiza Égide :
nina wa fata oku Congo ku province ya ituri asante sana kwa fundisho
2026-06-16 13:54:01
0
Matoboymkuthe samson :
yesu ni mtume wa MUNGU jaman sikasema yeye kwenye yohana 17:3 mbona unapindisha pindisha
2026-06-16 05:18:56
1
Jaji :
naenda kuandalia makao kisha nitarudi tena niwakaribishe kwangu ili pale nilipo ninyi muweze kuwepo, mbona hapa Yesu ajasema niwakaribishe kwa Baba ambaye ni Mungu.
2026-06-16 11:27:22
0
fulgence :
isaya 9:6 yesu ni Baba wa milele full stop
2026-06-17 13:48:12
0
Gedeon Maleka :
napenda urulivu wenu katika fundisho hili
2026-06-17 05:40:45
0
farmer OG :
it was planned to confuse
2026-06-17 16:39:22
0
Hubert Mkoka :
sasa hizi verse zenye zinasema ni Mungu zitolewa ?
2026-06-17 16:08:28
0
kamaa :
Yesu amekua mwana lini?
2026-06-17 17:20:46
0
Mr.choi :
nitapataje nafasi nijiunge nanyi hapo niongezee mengi mungu ameniwezesha kujua plz share your contact and location
2026-06-17 05:40:31
0
Hayun Hamad :
baba yake mzazi
baba yake kiroho
au baba yake kiimani
naomba majibu
2026-06-16 21:18:01
0
Lamos wa LAMECKE KITAMBALA :
Matendo 5:3-4
2026-06-16 20:15:03
0
anu :
Kwa. wakisto. hakuna. jibu. kabisa
2026-06-16 09:56:01
0
To see more videos from user @kusanyiko, please go to the Tikwm
homepage.