Amina..hakika Yesu Kristo ni Mungu na Mwakozi wetu🙏🙏🙏
2026-06-28 08:44:04
1
devidikawilliam :
amen, barikiwa mtumishi wa Mungu
2026-06-16 06:35:56
1
François Luhinda :
Yesu anasema: baba ni mkubwa kuliko mimi wa nfudisheni watu neno la Yesu mwenyewe siyo yenu! YOHANA 14:28
2026-06-16 06:20:59
1
kavuti_tripper :
amezaliwa past tense alikuwa amezaliwa na nani wakati wa isaya nani amemzaa nani katupa(tumepewa)hiyo yako ya badaye unaongelea isiah 7:14 yesu ni mwana wa Mungu
2026-06-16 18:43:58
1
France :
wakasome injili ya mathayo mwanzoni Emanuel yaani MUNGU yu pamoja nasi
2026-06-24 16:00:03
1
pheda :
YESU ndiye MUNGU
2026-06-23 20:54:05
2
iam_Jeremiah 🖤 :
Jesus is truly de living God
2026-06-16 16:16:02
1
Sultan Rashid :
Mungu anakunya
2026-06-16 07:40:19
1
سليمان الحبسي :
🥰🥰🥰
2026-06-16 19:28:36
0
To see more videos from user @sayuni.media, please go to the Tikwm
homepage.