@homecity_internationaltz: #Usikose nafasi hii! Meza zetu zipo kwenye punguzo kubwa la bei kwa muda maalum. Pata meza bora za nyumbani, ofisini na sehemu za biashara kwa bei nafuu zaidi. Fika Home City leo uchague inayokufaa kabla hazijaisha! ๐ชUbora wa hali ya juu โข Bei za kuvutia โข Mzigo wa kutosha.call 0795338123
Homecity Supermarket ๐
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 04:38:14 GMT
Music
Download
Comments
Abbysalma :
kweli
2026-06-16 13:46:16
0
DOUBLE J COSMETICS :
Ya kweli hayo
2026-06-16 13:00:23
0
Herman Mkangi :
mko wapi
2026-06-16 12:54:48
0
inno14k :
ni pamoja na viti?
2026-06-16 11:22:15
0
Mihayo Mkwachu :
manapatika wapi?
2026-06-16 12:25:47
0
Reenah๐น :
Hio no bei ya meza tu sio
2026-06-16 06:23:44
0
Irene Masika :
Hii ya raki mbili 20 nyeus material yake ni nini?
2026-06-16 10:53:35
0
Patty_Cakes_dar :
hii offer adi kunduchi ipo????
2026-06-16 13:14:14
0
ms.doreenhenry :
Viti peke yangu sh ngapi?
2026-06-16 12:05:07
0
s.f.s online store :
naiaji
2026-06-16 11:19:34
0
itasso :
mpo sehemu gani
2026-06-16 10:54:26
0
njusa_pagawisha :
nahitaji hiyo red and black
2026-06-16 11:51:22
0
mamdoo-official :
delivery kama nzega bei gani?
2026-06-16 08:21:43
0
ms Dee๐๐น๐ฟ :
ni meza tuh au na vitu vyake
2026-06-16 10:38:13
0
user1514148029869 :
Location pse!
2026-06-16 12:06:34
0
s.f.s online store :
mnapatikana wp
2026-06-16 11:20:03
0
apple๐ :
nimependa ya matunda๐ฅฐ
2026-06-16 10:56:06
0
Michelle abby :
Nika jua na arusha pia
2026-06-16 10:37:21
0
Precious๐ฅฐ :
Kweny meza na viti 4 zile za 750k kuna punguzo pia? Sh ngap now ?
2026-06-16 08:35:38
0
user4611611376931 :
mtupe Namba jaman
2026-06-16 13:10:05
0
To see more videos from user @homecity_internationaltz, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.