@jurashcontinuer: #zanzibar🇹🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #southafricatiktok🇿🇦 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿

Jurash continuer
Jurash continuer
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 05:24:34 GMT
34278
2531
64
480

Music

Download

Comments

ubaidaa51
Ubaidaa51 :
Ukisikiliza ili ujibu hata ukielewa utajifanya hujaelewa
2026-06-17 04:20:15
6
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Kwa mujibu wa madhehebu ya Imam Shafi‘i, suala la dua baada ya swala na watu kusema “Amiin” lina maelezo haya: alisisitiza kuwa baada ya swala kuna adhkari na dua, lakini hakujulikana kwake kwamba Mtume ﷺ alikuwa akifanya dua ya pamoja ya kuinua mikono na waumini wote kusema Amiin baada ya kila swala ya faradhi kama utaratibu wa kudumu. Wanazuoni wa Shafi‘i wameeleza: Dua baada ya swala ni jambo linaloruhusiwa, kwa sababu dua kwa ujumla ni ibada. Imamu akiomba dua na baadhi ya watu wakisema Amiin, hilo linaweza kuruhusiwa. Lakini kuifanya kuwa sunnah maalumu inayofanywa kila baada ya swala kwa lazima hakujathibitishwa kutoka kwa Mtume ﷺ. Katika madhehebu ya Shafi‘i, kilicho maarufu zaidi baada ya swala ni kusoma adhkari zilizopokelewa, kisha mtu anaweza kumuomba Allah dua zake mwenyewe.
2026-06-16 10:51:07
5
bin.hemed.jr
Bin Hemed Jr. :
Sio kwa pamoja lakini😁
2026-06-17 21:46:01
2
user8416107335590
Umm mhamad :
Mungu akuzidishie ilmu
2026-06-16 11:19:24
6
yaso.masiku
Yaso masiku :
S/aleikum shekh mbona video zako azidanlodik
2026-06-16 06:47:53
2
ibnu.twalib.albaa
ABU UNEYS :
Swahihi Ila apindisha usahihi
2026-06-16 09:10:40
0
user1447731909744
mrisho250 :
Allah akulipe kila la kheri
2026-06-20 03:38:04
1
user6708490075319
Ali Badru Suleman merali :
Shukran Alhamdulilah
2026-06-17 15:50:42
1
bandit0723
BANDIT :
dhikri si amapiano
2026-07-13 07:33:30
0
team.mayuro
Akhii :
wezesha tu download
2026-06-21 22:22:27
0
user2121024619960
user2121024619960 :
MAA SHAALLAH
2026-06-16 10:37:00
1
user1068000477971
salimojamailambassesalimojamal :
masha allah
2026-06-19 07:27:01
1
daruwesh.ayoubu
Daruwesh Ayoubu :
Unajua sana
2026-06-17 00:01:46
2
mohamedmzito
Mohamet1234 :
@ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته:Kwa mujibu wa madhehebu ya Imam Shafi‘i, suala la dua baada ya swala na watu kusema “Amiin” lina maelezo haya: alisisitiza kuwa baada ya swala kuna adhkari na dua, lakini hakujulikana kwake kwamba Mtume ﷺ alikuwa akifanya dua ya pamoja ya kuinua mikono na waumini wote kusema Amiin baada ya kila swala ya faradhi kama utaratibu wa kudumu. Wanazuoni wa Shafi‘i wameeleza: Dua baada ya swala ni jambo linaloruhusiwa, kwa sababu dua kwa ujumla ni ibada. Imamu akiomba dua na baadhi ya watu wakisema Amiin, hilo linaweza kuruhusiwa. Lakini kuifanya kuwa sunnah maalumu inayofanywa kila baada ya swala kwa lazima hakujathibitishwa kutoka kwa Mtume ﷺ. Katika madhehebu ya Shafi‘i, kilicho maarufu zaidi baada ya swala ni kusoma adhkari zilizopokelewa, kisha mtu anaweza kumuomba Allah dua zake mwenyewe.
2026-08-18 15:04:14
0
sweetmami73
sweetmami :
mashallah shukran
2026-06-16 14:32:22
1
abuhussenovic.aba
AbuHussenovic AbaHabiba :
jazakallahu Kheyr Habibi
2026-06-17 16:38:06
1
nurdinabdallahbak
javed :
naam naam
2026-06-16 11:12:38
2
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Hii ndio madahebu ya Imamu Shafii
2026-06-16 10:46:05
3
ibrahim.chuma4
Ibrahim Chuma :
maashaallah
2026-07-01 14:16:32
0
hamadsuleiman70
hamadsuleiman70 :
MashaAllah Allah atuonguze sote Amin Yarab
2026-07-09 11:24:42
0
ahmedofafa
ahmedjuma2008 :
Ndio manake ustadthi
2026-08-01 10:52:51
0
nassirmbwana273
nassirmbwana273 :
be blessed
2026-08-29 19:18:49
0
sharak.dauda.dauda
shafk dauda dauda :
2026-07-18 19:22:54
0
www.shabraj
الله اڪبر :
alhamdulillah
2026-06-17 05:18:18
1
To see more videos from user @jurashcontinuer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About