@kashera264:

Kashera
Kashera
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 05:50:31 GMT
124604
3671
94
421

Music

Download

Comments

lorwn2000
peace :
sipendi kupigiwa cm zaid ya moja ukizidisha nakublock
2026-06-16 06:53:36
29
millydan1
millydan1 :
kama namdai nampigia asipopokea naenda kwake staki ujinga 😅
2026-06-16 10:41:47
20
mcsuziemavoco5
Suzie media and Entertainment :
mpaka izime charg
2026-06-16 12:25:43
2
taho1000_
TAHO Media Group (TMG) :
Ushauri wangu, usiwe unapigia simu watu hovyo bila sababu ya msingi, hii itapandisha thamani yako siku mtu anaona call yako anasema dah huyu jamaa kama amepiga basi ana issue ya muhimu hivyo lazima apokee, pending thamani yako
2026-06-16 08:28:29
18
suzanarobart
Mam Light :
kama kuna shida ya muhimu
2026-06-16 13:50:42
1
who.is.this0989
Who Is This? :
kuna wale wanaongea na simu kwa nguvu
2026-06-16 17:35:25
1
madonn065
madonna :
Mimi atakuta hata 100😂😂
2026-06-16 08:51:47
4
najie43
I.t.s.NAJIE🦋 :
Mm sipend kukuta missed call 20 jmn
2026-06-16 07:38:59
5
gloryhealth
Mrs Frank :
Jmn mimi mume wangu akiamua kupiga jmn weeee dk 2 miscall 10 zikiwa 4 miscall 20
2026-06-16 08:23:58
6
malotajr10_
malotajr10_ :
👏👏👏 mentor
2026-06-16 05:52:51
3
crisydevimto
herzilish 🔥🤫 :
nikiweka hii status nanuniwa sasa hv
2026-06-16 08:26:22
5
shabari433
Hamis Masud :
kama namdai je
2026-06-16 12:57:09
1
cindyfragrancebeaut
Cindy fragrance & beauty :
Mimi kama Sio biashara Naomba upige mara moja ukipiga zaid ya hapo unanikwaza na sipokei sasa 🙌🏼🙌🏼
2026-06-16 14:00:35
1
kimmysantoo
kimmysantoo :
baba me nilipigiwa 271 missed call
2026-06-16 14:15:18
1
user2325503083690
kym :
missed call n 1😂
2026-06-16 14:49:09
1
imelda.tenga0
Imelda Tenga :
fact💯💯
2026-06-16 11:03:45
1
aisha.abdull3
Aisha Abdull :
Missed calls 21 ziliua mtu mwanza niliumia sana bint wa singida
2026-06-16 09:43:50
1
msanjowema
wemamsanjo :
😃 missed 📞 40
2026-06-16 10:26:59
1
mwanamke.stara
Mwanamke stara 👌😍 :
Mimi moja tu inatosha na ikiita mda mrefu nakata
2026-06-16 15:31:10
1
hamadsheni
Hamad Sheni :
Mimi napga.
2026-06-16 11:55:32
1
katavi.one
katavi one :
nakuelewa na ninakufatulia sana
2026-06-16 10:04:10
2
zahramotto
👑Zahra Zahra🦋🌹 :
sipend jmn kupigiw km nnafigo ya mtu
2026-06-16 10:40:17
2
nailaalphat5
NailathAlphat Collection 🎀 :
inategemea umamipigia naniii😅
2026-06-16 11:18:43
1
ben_graphix6
Ben_Graphix :
nlimkuta missed call 8, nikajua Kuna tatizo. daah nakuja kumpigia Mimi ananiambia nilikuwa nakusalimia tu😳. nilichukia sana
2026-06-16 15:01:41
1
husnahasan85221481367122
Husna hasani🌹 :
jaman mume wangu akipiga moja tu harudii tena labda nimpigie mimi
2026-06-16 09:44:16
2
To see more videos from user @kashera264, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About