@veriafya: Baadhi ya Mambo hatarishi yanayoongeza nafasi ya kuugua Ugonjwa wa Figo ni Uvutaji wa Sigara, Unywaji wa Pombe kupitiliza, Uzito Mkubwa, Matumizi Makubwa ya Chumvi na Sukari. Ni muhimu kuepuka tabia hizi ili kulinda Figo zako. Dkt.Garvin Kweka Daktari Bingwa Bobezi wa Magonjwa ya Figo Video: Muhimbili TV