@babafaisal09: Part 2... Jinsi ya kuswali swala ya kuswali #tanzaniantiktok🇹🇿 #shekhemselembinally #creatorsearchinsights #mawaidha

Chilo classic
Chilo classic
Open In TikTok:
Region: MZ
Tuesday 16 June 2026 06:02:56 GMT
46095
2874
26
229

Music

Download

Comments

dullkeytenge
dullahdonny "K" :
dhuhur na al asir unachanganya zote yaan 4 au vp
2026-06-19 05:04:06
1
007._78
User_007 :
sasa hiki kipengele cha kuikhairisha magharibi. kuichanganya na isha ,je iyo isha utaswali hizo hizo mbili au nne Kisha ndo utaswali rakaa tatu za magharib
2026-06-21 13:28:54
1
user78845655108193
taribo :
nauliza t ili nipate kufaham je kama zanzbar ukitoka kskazin kwenda kusin kikaz yaan kambi unaweza kusal swaala ya safar
2026-06-18 17:57:19
1
bigshariff_50
Bigshariff :
mfano nimeomba lift gari haijasimama na sio mas'hara hapo vipi?
2026-06-16 19:45:20
2
abdallah.mohammed0191
Abdallah Mohammed :
alhamdulilahi me from Tanzania
2026-06-16 16:52:03
2
robert_ludlum
robert_ludlum :
جزاك الله خير
2026-06-17 08:38:06
1
user3782271807261
Bismillah Allahu akbar :
swala ya safari sio swala ya kuswali
2026-06-17 12:05:32
1
ashakusundwa
Asha Kusundwa :
nimejifunza
2026-06-16 13:36:14
2
khamisimasha
Khamisi Masha :
Shukran 🙏
2026-06-16 15:51:39
1
brightfuture_mbuzini
Bright Future Islamic Centre :
sheikh nauliza, kwenye mkusanyo wa kucherewesha mfano swala ya maghribi na isha nazicherewesha nije kuziswali nikifika safari yangu mnamo saa 3 au saa 4 usiku. sasa nikija nikifariki kwenye safari na bado sijafika safari yangu. hukmu yangu nn mbele ya Allah?
2026-06-16 07:22:59
1
user8774319757037
Baraka"lilumba" :
barakallahu fiiqq "**
2026-06-17 16:23:47
1
ben_tourdriverzan
Ben_tourdriverzanzibar :
Na ipi nia yake sheikh!?
2026-06-17 17:41:20
2
user1022985023135
Alingi :
shukran kwa kutujulisha
2026-06-19 14:20:57
1
user2134854970174
dullazo Ababy :
asante shekh
2026-06-16 16:13:51
2
mohamedrashidxr7
Montana House Of Beauty :
Je?Unaweza kuswali kabla ya safari wakati unajua safari yako ndefu adhuhuri na laasir huziwahi???
2026-06-18 10:37:31
2
wozza494
Wozza4 :
Jazakallah Khairan
2026-06-17 17:32:14
1
idrisa0093
idrisa :
tujitahidi sana kusoma ndo tutapata njia ya uogovu
2026-07-04 10:41:44
1
tatizo.nafsi
@***SHA***@ :
🥰🥰
2026-06-18 20:55:27
1
naima.ahmed23
Naciimo qurux :
🥰🥰🥰
2026-06-30 14:58:27
1
To see more videos from user @babafaisal09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About