@paulfreddiekilango: TRUMP AJIKOSHA USIKU HUU! Atangaza kusaini mkataba na Iran huku akimponda Obama na kusahau jinsi alivyopigwa magoti Lango la Hormuz! 🤣 Dr. Paul anamnyambua live bila uoga jinsi alivyomeza matapishi yake. Share kwa wengine sasa hivi! #TrumpVsIran #MkatabaWaAmani #LangoLaHormuz #DonaldTrump #SiasaZaKimataifa