naomba kupinga hoja kwasabab lc 300 ni nzito otherwise safari iwe ndefu sana na iwe rought kweny njia lakin kama ni smooth road na Kona Subaru inakata Kona vizur
SJG5 XT: takriban 280 hp, uzito mdogo (~1.6 tani), 0–100 km/h karibu sekunde 6–7.
LC300: takriban 300+ hp (kutegemea engine), lakini ni nzito sana (~2.5 tani), 0–100 km/h karibu sekunde 7–8.
2026-06-16 07:46:19
11
@🅿🆈🅽🅰🆃🆄🆁🅴_360 :
story za wanaume 🥰🥰🥰
2026-06-17 19:32:17
1
B Boy :
latafuta subaru forester sh9 cc2500 inaiweza hiyo gari vizuri 2.
2026-06-16 11:36:39
2
Yuxhin :
minawacholatu
2026-06-16 16:30:31
1
official HARUN🇹🇿 :
dah story za matajiri😁💯
2026-06-17 19:28:55
1
Modern_Upvc1 :
Fanya ya majesta please
2026-06-17 07:36:49
1
Jackson Mmassy :
Fanyeni review ya 300 na Volkswagon kidogo nata kujua
2026-06-16 11:06:34
0
Pascal_DCC :
@motechi😅😅
2026-06-16 15:13:54
0
Lameck Raymond :
hii gar naipenda xn
2026-06-18 04:18:46
0
Jackma :
2026-06-16 09:35:55
0
Rayson James :
Sure 👍
2026-06-16 22:38:37
0
~Bry🔹 :
Kitu Cha kwanza Subaru atapush ni zile 0-100Kph kwa 6.1sec na atafika180kph mapema
ila Hyo Lc300 ikija kupita ni safari😂😂😂mzee
2026-06-16 07:35:37
5
Rider_770 :
yan nyie wa Subaru mnasumbuliwa na crown mnataka kuleta upinzani kwenye LC 300 acheni masihara bhn iyo LC 300 ni umeme
2026-06-16 08:57:01
5
fyn man bishop :
alafu kweny kuendesha gari hizo sekunde sio kitu kidog kwamba unaweza ku clear after time one second difference Kwa gauge zinazosima equal kama zote mia mbili Kwa miambili gape la one second tu MTU huwez kulimaliza
2026-06-16 09:12:28
0
melki🤞05 :
Sasa ndio msogeleane hivyo wajomba
2026-06-16 18:18:49
0
captain sayodi :
mm nichukuwe iyoLc300 njooni tushindane
2026-06-16 20:54:10
0
mika_c63 :
nilikuwa najiuliza hizo tuta itakuwaje kama subaru akila tuta zote na 300 dar dom subaru itafika haina taa hata moja 😂
2026-06-16 14:54:24
1
Rɑ¡ndrops💧 :
over a short distance lc 300 hatamwona subaruu lakini distance mrefu subaru atamwona lc300
2026-06-16 19:51:44
1
Brians😎 :
nikimiliki hii ndugu zangu wataanza kufariki🥺
2026-06-22 06:53:30
0
James George :
vp lc300 na lx600 ipi Inakuwa na balaa
2026-06-16 20:49:52
0
clemence :
bloo umejibu kiutaalamu sana subaru ndani ya sekunde 5 adi 8 atamwacha baada ya apoa sahau kuusu lc300
2026-06-16 18:27:52
0
tranquilbloom :
Bro mm nina lc 300 zx 2024 naomba race then ukishida nakupa 1 milion cash
2026-06-17 09:43:53
0
Jesse Sam :
hivi mliwahi kuziona hizo gari kwenye rally zikiwa na subaru au gari yoyote ya sport ndogo ni nchii gani ilifanyika na hata ualisia huwezi kimbiza sport car na gari ya kazi za site
2026-06-16 20:18:15
1
Zimba Electronics :
hyo lc300🔥
2026-06-16 09:09:21
0
To see more videos from user @magarimaarufu, please go to the Tikwm
homepage.