Hii nyimbo na me nitaimba siku naingia ukumbini nikiwa na mwanaume wangu anaenipenda kwa dhati aliyenichagua nikawe rafiki yake na msiri wake milele wote tuseme amen 🥰
2026-06-16 15:05:56
129
Binti :
Na mim Hata wasemeje ila kwakina Ndoa Nitaenda Bhna 🥰🥰🥰
2026-06-16 13:12:53
126
Venance Magabe Jr :
Kuna mama hapo ameonesha tabasamu la kutoka moyoni♥️
2026-06-16 12:28:21
41
KNM :
anafanana na Vanessa mdee
2026-06-16 16:36:06
18
J.e.m.o.m.y :
nimependa gauni lako zuri sana halikuchoshi... 👏
2026-06-16 10:34:02
32
TJ 🍫😍 :
Neat,clean and simple 🥰🥰🥰🥰mrembo hasa
2026-06-26 18:37:19
1
simply- scolastica :
Tulio angalia zaidi ya mara tano like hapa
2026-06-16 20:53:40
8
Ms__Rachy :
She’s beautiful 🥰
2026-06-16 13:38:33
6
Ajuna💞🤍 :
congratulations Dr. Vivian 😊
2026-06-20 12:35:21
2
Mercy :
haja jipamba sana ya kidogo tu na kapendeza balaaa
MUNGU kama ivi na mm siiumoja😭
2026-06-17 14:54:02
5
Debbie :
nimpenda gauni la bi harus jmn🥰
2026-06-16 13:29:58
6
helcon13 :
Simple and clear 🥰
2026-06-16 14:59:21
2
dotto-oufit👗🔥🛍️ :
karembooo
2026-06-16 11:42:34
5
Miss tarimo💞 :
🥰🥰🥰 Ni kwa neema za Mungu tu..
2026-06-16 17:26:37
2
nkodota :
wow mzuri
2026-06-16 16:02:06
2
Princess Moni... :
Mrembo, mzur, umependeza, unafanana na Vanessa mdee. Congrats
2026-06-17 04:32:10
2
Neema magova :
gauni haikodishwi
2026-06-18 08:30:13
0
kipepeo :
mzuriii🥰🥰
2026-06-16 14:11:01
1
RiRI❤️🇹🇿 :
Beautiful brideee walaahiii❤️
2026-06-17 11:29:55
1
Serhaworld🦋 :
Kazuriii sanaaa
2026-06-18 19:07:42
1
gee :
🥰🥰🥰 hongera vivian
2026-06-16 16:17:42
3
stone008 :
simple gauni na zuri
2026-06-16 14:46:08
3
@ dora official ❣️ :
kama nandy
2026-06-18 12:08:31
1
To see more videos from user @mc_mwandete, please go to the Tikwm
homepage.