ninayo mpaka leo sinafuta unaenda mwaka wapili huu toka afaliki
2026-06-16 15:34:02
11
D.mawe8 :
Namuomba sana mwenyezi mungu amjalie umri mrefu mama angu aje ashuhudie mafanikio yangu inshallah.
2026-06-28 15:31:02
9
Tony blear311🥰🥰 :
I miss you my mom😭😭😭
2026-06-16 16:07:11
1
Diana Charles :
acha basi mbona maneno makali hayo jamn
2026-06-18 08:09:05
2
Braddah_08 :
I miss you jeddy 😭😭
2026-06-16 23:03:15
1
official fey :
Mimi sifutii
2026-06-16 16:12:44
0
🦋𝓐𝓱𝓽𝓻𝓪𝓶_𝓐𝓾𝓻𝓪💫💪 :
kwa mm sidhan kama ntafuta...siwezi nahisi km ntashindwa kuvumilia maumiv so nitaiacha.......inshallah mwenyez mungu naomba umpe maisha marefu mama angu
2026-07-19 17:28:26
3
Pendo💔 :
nasoma comment zina nigusa mpaka machoz yana toka 😳 poleni jamani mungu awatie nguvu na si wengine mungu atulindie sanaaaaa amani yetu
2026-07-26 19:00:19
1
Linda Fulgenc massawe 005 :
mm ninayo nasifuti kunamda na piga nanajua ayupo inaniuma sana jaman. na sitowai fut
2026-07-21 17:36:48
0
Jeska Samweli :
nipo hp nashidwa kufuta semtm napiga hata kama haipatikn nahis kam itaita
2026-07-25 12:07:15
0
MremiDMX :
usiifute mkuu iyache iishi
2026-07-19 16:25:35
0
Marry ongala🇹🇿↔️🇰🇪💫 :
l miss you mom😭😭😭
2026-06-16 14:49:48
1
fatnah :
achana na haya maumivu duuh😭😭
2026-06-16 11:54:11
3
careen❤️ :
ctk ata kuifut piy naibadilish jina zuri kil leo😭😭😭😭Allah akurehem kw rehma njema mama angu😭🙏
2026-07-19 17:47:50
0
🌸🦋Last😘born🌸🦋 :
daaah🥺
2026-06-16 14:04:11
1
Dotto Kingoi :
duuh 🥹🥹
2026-06-16 08:01:44
1
PRISCA _KAKUMBI 🏅 :
hawaelew hao 💔🙌😥
2026-06-16 13:30:00
1
D.mawe8 :
Allah akupe thabata uwe salama 🫂.
2026-06-28 15:31:47
0
immortal :
sijawahi kujaribu💔
2026-06-17 17:15:02
0
kym :
duuu
2026-06-16 12:55:51
0
Bab💔cute💔💔 :
Mim bad ipo kweny SIMU yang kuna mda najikut nampigia ila haipatikan😭😭
2026-06-16 13:31:40
1
kiddy🔐 :
😭😭kuna mda huwa tunapigia tunahusi labda itapokelewa😭😭
2026-06-16 10:59:09
2
NEW GIRL 🦋🍍🍎 :
Mung sitak inikut hii niepush
2026-06-16 18:04:22
1
ki pii :
nlikuw bad sjamilik sim ila inaum kusenge
2026-07-20 01:09:41
0
To see more videos from user @laughzone___, please go to the Tikwm
homepage.