@pika.na.mimi: Chapati za Plain Yogurt 😍🥰 Laini, tamu na zenye tabaka nzuri kabisa! Ukitaka chapati zinazovutia macho na kufurahisha tumbo, basi hii ndiyo siri yake. 😋🔥 #PikaNaMimi #ChapatiZaYogurt #ChapatiLaini #FoodTok #TikTokFood
pika na mimi
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 07:39:38 GMT
Music
Download
Comments
marifafam5 :
Nifunze jamani mume wngu anapend il sijuw kupika
2026-06-16 17:16:59
0
zuh140 :
unakandaje🥰
2026-06-16 20:20:30
0
Mrsmohamed :
hio plain yogurt ndo nn?
2026-06-16 15:49:00
1
Salma sabir.1 :
Sister apo unapo kunja huwa natiaga mafuta au bluband?
2026-06-16 19:10:12
0
Munat's Cravings :
mashaallah 👌🥰
2026-06-16 16:56:01
0
sweetmami :
mashallah
2026-06-16 18:56:02
0
mashuka_collection_tz :
Acha basi pika za kuuza sasa
2026-06-16 17:01:08
0
Miss Helen💍❤️🔐 :
chapat za mawifi wenye gubu ndo hizo😁😁
2026-06-16 08:46:06
0
#Prettywithbrain.....🦋💞 :
udugu unaweza unaweza na tena🥰
2026-06-16 11:03:45
0
Anty muu :
naomba kuuliza unaweza kuhifazi madonge kweye friji hadi siku ya pili
2026-06-16 16:23:48
0
unknown_muslimah :
🥰🥰🥰
2026-06-16 07:49:15
0
chimamy yunusi🦋🎂🍇🍒🐇🌹 :
🥰🥰🥰
2026-06-16 13:56:15
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.