@pika.na.mimi: Chapati haina mafuta hii 😋tamu hajabu 😋😋😋napika bhn#PikaNaMimi #ChapatiZaYogurt

pika na mimi
pika na mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 07:46:09 GMT
2138757
90188
2021
7613

Music

Download

Comments

lady78096
mshangazi 2000 :
😁😁😁 zangu usipo chukuwa vizuri utajikata mkono
2026-06-16 16:34:31
2092
officiallyrania2
officiallyrania2 :
Nimegundua mimi na mume wangu tunahitaj mke 😂
2026-06-17 08:17:56
1389
nasrahcosmetcs1
nasrahcosmetcs1 :
Siku nikiweza kupika chapo iko ivo najifungia sehem naliaaaa😅😅
2026-06-16 19:39:35
423
im.katarina3
I’m katarina :
Kwenu wap nije na chai ya maziwa
2026-06-16 12:11:27
334
miss.tina799
Miss Tina☘️ :
Mbona Mimi chapati zangu zinakuwa Kama za agano la kale .
2026-06-24 09:54:54
131
alsadri190
Otire :
Mungu akinipa wife anaepika hivi natoa sadaka kila siku
2026-06-17 11:49:00
63
kambaa_01
kambaa :
kumbe sijawah kula chapat tangu nizaliwe
2026-06-18 07:46:31
99
darueshphoneandaccessors
darueshphoneandaccessors :
iyo chapat unaikuta znz 2
2026-06-16 22:59:06
26
noble4809
NOBLE :
hv nan aliwaambia kujua kupika ni kupika chapat
2026-06-17 15:05:45
7
bonnymabilika
Bonny mabilika :
AFU KUNAWANGU ANAPIKA CHAPATI ZINA PEMBE SITA....NAENDA KUMFUKUZA🤣
2026-07-19 17:14:14
12
khajiranurdin
🌹hechi _girl🌹 :
nifundishe bas naolewa kesho nisije nikarudishwa😅
2026-06-17 09:02:16
24
dijja.wa.ney
dijjah wa ney🥰 :
hzi ndo chapati ile zile zangu ni ChatGPT 😂😂
2026-06-16 20:00:39
27
chakudeka.120
🎀ÐÊË ĈŪŤË🦋 :
chapati imeenda shule😁🥰❤️
2026-06-17 12:36:17
11
ik_geeh
iklayza org :
mke wangu chagua moja kupika hivi au nikuache 😂🫳
2026-06-26 17:28:56
17
killer.tz1
Kareem Tz❤️💫💫 :
Kama chapati zina takiwa kua hivyo bc mke wangu ni juma😂😂
2026-07-15 06:54:49
5
siamsangi
sia :
hiyo ndonataka ila yangu inatoka kama bati
2026-06-23 13:32:44
6
oram_marsab
Oram_marsab :
baraka nyengine kujaaliwa mke anaejua kupik chapat
2026-06-17 10:04:53
19
pearlyjay12
@PEARL JAY💥 :
10/10 nalipa chap
2026-06-17 07:29:58
7
emanuelyendrew
emma :
Kuna mtu kasema (:Nimegundua mimi na mume wangu tunahitaj mke 😂) aisee nimecheka kama mwehu🤣🤣🤣
2026-06-19 15:40:33
16
aminimwiru442
mr_mwiru :
kama chapati za kidigo kutoka Tanga
2026-06-17 07:23:51
6
gangaule123
Ganga Ule :
Mwanamke wa kupika hivi chapati za kuchambuka hata awe na watoto kumi ni naoa kwa mahali yoyote 🥰
2026-06-18 16:17:04
7
djsam.tekno
djsam tekno 🇰🇪 :
yangu hizo
2026-06-19 17:29:42
37
hancho643
Hancho :
Mama kasema unipe moja eti🥺
2026-06-16 21:19:22
6
mwasenga32
😍salome magwaza😍 :
🤔 mwanetu me napikaga nini hiki sasa😳
2026-06-17 16:50:51
8
zeynab.hangi
Zeynab hangi :
zangu hizi 😂😂
2026-06-28 20:04:12
7
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About