@kanikibrown: Mtoto Faith Shao amesema matumizi yake ya simu yanakuwa chini ya uangalizi wa wazazi kupitia mifumo ya kudhibiti maudhui anayoyaangalia mtandaoni. Akizungumza katika Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Juni 16, 2026, Faith amesema hupenda kufuatilia vipindi vya burudani na podcast kwa ajili ya kujifunza na kujiburudisha. Aidha, amesema ana vipaji mbalimbali ikiwemo uigizaji, uchoraji, mitindo na ushonaji. Faith pia ameeleza kuwa amejikita katika shughuli za biashara akiwa na ndoto za kufanya vizuri katika tasnia anayoipenda. “Ninatamani nikikua niwe Faith anayejulikana na anayefanya vizuri katika tasnia yake,” amesema Faith. #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”

Kaniki Brown
Kaniki Brown
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 08:04:24 GMT
342578
28413
850
2058

Music

Download

Comments

tshingwathene
Tshingwathene :
dah huyu mtoto ana akili ya maisha kuzidi hata mke wangu😭😭😭😭😭
2026-06-16 10:12:03
1544
aunt.samwel
Aunt Samwel🤎 :
Hata Mimi sijui kujieleza hivyo 💔😂
2026-06-16 11:19:46
687
livvie_57
livya lyl🐶 :
Yoooo I wish i could have confidence like her when I was like her yaan enz zang 😅😅🤪
2026-06-17 18:58:28
1
sparkling_eyes01
heaven light :
wakwangu anakazi yakushika nyimbo za akina chechekule
2026-06-16 17:42:42
552
binzi0001
Binz :
mtoto wangu anasema hii ni AI😂😂
2026-06-16 10:20:05
501
realmamu90
realmamuu :
my future daughter inlaw
2026-06-16 09:41:22
242
user2344922666761
ShamsaCute❤️🍝🔐 :
huyu mtoto anayo akili kamzidi mume wangu
2026-06-16 20:14:25
172
leluusaid
LELUU BEAUTY🦋 :
mtoto Ana akili kuliko mimi🤣🙌
2026-06-16 12:45:14
254
amore3118
Amore❤️ :
khaaa kanaongea kwa konfidensii
2026-06-16 10:24:05
323
brianlymo
brianlymo :
'burudani' it has been years sijatumia hili neno
2026-06-16 13:46:44
126
_sophycharlie004
Ms. Charlie004 :
Sauti ya mamlaka 🤗🤗
2026-06-16 13:35:58
76
zanzibar_bedding
Zanzibar Home Decor 🛏️ :
Kitoto kinajiamini hattari 🥰
2026-06-16 09:37:08
101
imanizack
IAE Auto Electrical 📍 :
dogo ana confidence sana ase
2026-06-17 06:25:42
2
traveler_boe
Traveler boe_68 :
Follow for follow back ✌️
2026-06-17 02:38:51
3
hadija.mtila
Hadija Mtila :
talanted girl
2026-06-16 23:21:02
1
selina.michael20
Selina Michael :
Anaongea kama mtu mzima🥰
2026-06-16 11:58:11
100
abdallahasmine4
Abdallah Asmine :
she is very smart masha allah 🥰
2026-06-16 10:14:08
37
elynah4rever
Elynah K3QM :
Miriam chirwa alikuwa km hivi jmn🥺🥺
2026-06-16 20:23:21
47
nebacollection
NEBA COLLECTION :
Mimi na mtoto wangu tunahitaji mtoto🥰
2026-06-16 15:08:24
70
user32609022668176
rabbiy baby🇹🇿🇴🇲 :
na mimi nilikuwa ivi😅ila baada ya kuonja.......🤣🤣😂
2026-06-16 17:11:07
125
munyinyaswalehe7
كن سلفية على الجاد :
omba sahn mwisho mwem safar bado
2026-06-16 08:17:03
85
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About