@mwasumbi_electro: HISENSE AUTOMATIC WASHING MACHINE ☄️6KG wash/spin________950,000/= ☄️7KG wash/spin________1,000,000/= ☄️8KG wash/spin________1,100,000/= ☄️8KG wash/dry_________1,200,000/= ☄️10KG wash/spin_______1,300,000/= ☄️10KG wash/dry_______1,400,000/= ☄️12KG wash/spin______1,450,000/= ☄️12KG wash/dry_______1,650,000/= MIDEA AUTOMATIC WASHING MACHINE ☄️7KG wash/spin_______950,000/= ☄️10KG wash/spin______1,200,000/= ☄️12KG wash/spin______1,400,000/= ☄️12KG wash/dry_______1,600,000/= AERO AUTOMATIC WASHING MACHINE ☄️7KG wash/spin_______850,000/= ☄️12KG wash/spin______1,250,000/= IMPEX AUTOMATIC WASHING MACHINE ☄️6KG wash/spin______750,000/= ☄️8KG wash/spin_______ 850,000/= LG/SAMSUNG AUTOMATIC WASHING MACHINE ☄️9KG wash/spin______1,350,000/= ☄️9KG wash/dry_______1,500,000/= ☄️10KG wash/dry______1,650,000/= ☄️12KG wash/spin_____2,200,000/= ☄️12KG wash/dry_____2,500,000/= ☄️15KG wash/spin_______2,650,000/= ☄️15KG wash/dry_______3,200,000/= ☄️20KG wash/dry______3,750,000/= TUPO KARIAKOO MTAA WA UHURU NA NDANDA 📞0756957404 📞0756957404 #washingmachine #manualwashingmachine #automaticwashingmachine #mwasumbielectronics #tanzania🇹🇿
mwasumbi_electro🇹🇿
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 08:59:18 GMT
Music
Download
Comments
KIPUNGO :
napenda iyo ulioielezea mwanzo
2026-06-17 09:27:57
2
Fundi wa mashineZa kufulia ngu :
FUNDI WASHING MACHINE MANUAL AUTOMATIC TOP LOAD
2026-06-17 09:02:27
0
Raphael Mabula :
Weka namba ya simu.
2026-06-17 09:07:15
0
peter :
Boss! samsung manual ipo?nakama ipo bei gn
2026-06-17 07:13:59
0
😇😇 :
nipo dodoma naipataje naitaka hiyo ya mwanzo
2026-06-17 07:27:40
1
Jesc-ap :
nauliza hiyo automatic unamaanisha haitumii Sabun ya unga? na kama ni hivyo inatumia sabuni gam
2026-06-17 10:39:52
0
Giraffe❤️😍 :
Manual vp kwenye umeme
2026-06-16 16:35:12
0
rey :
hiyo manyu ya mwanzo ni bei gani
2026-06-16 11:31:21
1
princesslihy2 :
Hiyo ya mwisho bei gani
2026-06-16 21:43:56
0
حليمه :
upo wap
2026-06-16 17:54:59
0
sarha cute :
mi nataka ya laki 200000 ipo au
2026-06-16 16:13:01
0
cinta :
Bora ww unaelezea nimeuziwa mashine Hisense top load yaani sikuambiwa kama sio ya kuweka maji inanisubua yaani wauzaji wananisumbua basi tu
2026-06-16 16:46:46
0
Estoril Estar :
FUNDI WASHING MACHINE MANUAL AUTOMATIC TOP LOAD
2026-06-17 08:53:19
0
JS ELECTRONICS :
Respect Sana Kaka Yani Hakuna Kuongeza Neno Tena Umemaliza 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
2026-06-16 09:52:01
1
monica Sangawe :
Leo kaka umekibu swali langu la mda mreeeeeeeefu
2026-06-16 10:56:21
1
sawa kaka nimekuelewa...
Naomba bei ya hiyo manual.
2026-06-16 10:15:26
0
Madame pati 🇹🇿 🇪🇬 :
tunajua 😏
2026-06-16 14:44:22
0
فقير الطريقة الرحمانية :
ungetutajia bei kwa zote hizoo kama ulivyotupa elimu
2026-06-16 12:39:09
1
SEBA UV :
hisense bidhaa ikitoboa miaka 3 peleka makumbusho
2026-06-16 16:09:09
0
Bea cosmeticstz :
Kg ngap inatosha kufua duvet izo za manual
2026-06-16 13:38:23
0
Chikuchinga310 :
Mimi inanifaa hii ya nice one🤣 na Omo
2026-06-16 14:28:25
1
Ashiruna 002 :
manual ndio zenyewe 🙏
2026-06-17 12:14:54
0
Dorn K :
Iyo full ndo mpango mzimaaa jamna 🥰🥰
2026-06-17 15:42:46
0
To see more videos from user @mwasumbi_electro, please go to the Tikwm
homepage.