@larissa8864: O melhor lugar para todos os tipos de dramas viciantes! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’˜ Chefe CEO, vinganรงa, romance antigo, histรณrias leves e muito mais, tudo aqui. #pinedrama #br #pinedramabr#drama #fyp

larissa8864
larissa8864
Open In TikTok:
Region: BR
Tuesday 16 June 2026 09:10:11 GMT
105
3
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @larissa8864, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

๐‰๐ˆ๐๐’๐ˆ ๐˜๐€ ๐Š๐”๐๐€๐“๐€ ๐Œ๐“๐Ž๐“๐Ž ๐–๐€ ๐Š๐ˆ๐Š๐„๐Ÿคฑ Zamani ukimuuliza mtu unapenda upate mtoto gani wengi wao wangejibu mtoto wa kiume. Lakini hivi karibuni mambo yamebadilika watu wengi wanatamani kupata watoto wa kike zaidi kuliko wa kiume, wengine hutamani kupata mtoto wa kike baada ya kuwa na watoto wengi wa kiume.Haijalishi ni sababu gani inakusukuma kupata mtoto huyo wa kike, pengine sasa umekuwa ukihangaika kutafuta njia rahisi ya kukusaidia kufanikisha azma yako hiyo. Basi Leo utakwenda kupata jibu lake, kikawaida yapo mambo matatu makubwa unayotakiwa kuzingatia ili uweze kufanikisha kwa haraka ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ.๐Œ๐ฎ๐๐š ๐ฐ๐š ๐Š๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข ๐“๐ž๐ง๐๐จ Mwanaume hutoa mbegu za aina 2, X zinazotengeneza mtoto wa Kike na Y zinazoleta mtoto wa Kiume. Mbegu X huwa zinaishi muda  mrefu zaidi zaidi kuliko Y hivyo basi ili kuweza kufanikisha kupata mtoto wa kike mapema inatakiwa kushiriki tendo la ndoa siku 2 hadi 4 kabla ya siku ya kutungisha mimba. Hii itasaidia mbegu hizi za X ziweze kuingia pindi tu yai linapotoka.  ๐Ÿ.๐Œ๐ข๐ค๐š๐จ/๐’๐ญ๐š๐ข๐ฅ๐ข ๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข ๐ญ๐ž๐ง๐๐จ ๐ฅ๐š ๐ง๐๐จ๐š.  Mikao unayotumia wakati wa kushiriki tendo la ndoa inaweza kuathiri jinsia ya mtoto umtakaeโ€ฆ Kikawaida epuka kutumia mikao inayoruhusu mwanaume kumwagia mbegu zake karibu kabisa na mlango wa kizazi. Hivyo pendelea zile staili ambazo mashine ya mwanaume haiingii ndani sana, mfano staili ya kifo cha mende.  ๐Ÿ‘.๐”๐ฌ๐ข๐ฆ๐Ÿ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ž ๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐ค๐ž ๐Š๐ข๐ฅ๐ž๐ฅ๐ž๐ง๐ข๐Ÿ˜€  Wakati mwanamke anafika kileleni huwa kuna ute fulani anautoa unaozisaidia mbegu za kiume kukimbia haraka na kuishi muda mrefu, ili kuondoa uwezekano huu wa kupata mtoto wa kiume basi ni vema kushiriki tendo la ndoa kikawaida bila mwanamke kufika kileleni. ๐๐ˆ๐€ ๐“๐”๐€๐Œ๐๐ˆ๐„ ๐”๐Š๐ˆ๐Œ๐๐€๐“๐€ ๐๐€๐๐˜ ๐†๐ˆ๐‘๐‹ ๐”๐“๐€๐Œ๐๐€ ๐‰๐ˆ๐๐€ ๐†๐€๐๐ˆ ๐Ÿฅฐ๐ŸŒบ๐Ÿ‘‰  ๐Ÿฉท ๐—™๐—ข๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ข๐—ช, ๐—–๐—ข๐— ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง &๐—ฆ๐—›๐—”๐—ฅ๐—˜ ๐—ฃ๐—ข๐—ฆ๐—ง ๐—›๐—œ๐—œ ๐—œ๐—ช๐—”๐—™๐—œ๐—ž๐—œ๐—˜ ๐—ช๐—˜๐—ก๐—š๐—œ ๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ข๐—›๐—œ๐—ง๐—”๐—๐—œ ๐—•๐—”๐—•๐—ฌ ๐—š๐—œ๐—ฅ๐—Ÿ ๐Ÿฅฐ #trend #trending #viarl

About