@zivah.farms: Kila mtu anazungumzia faida ya kilimo, lakini faida kubwa zaidi ni kutokununua chakula unachoweza kujilimia mwenyewe. Maboga haya ni ushahidi!🔥🙌🏿 #pumpkins #pumpkinpatch #farmlife #farmer #tanzania🇹🇿

Zivah Farms
Zivah Farms
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 09:33:45 GMT
159
9
1
1

Music

Download

Comments

izackriwa
juma juma4 :
hii mboga naipenda sn,tena ukichanganya na nyama duh naweza kula ugali wote😂
2026-06-16 11:19:43
0
To see more videos from user @zivah.farms, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About