@ali_wisdom: mwenyezimungu anaweza kukupitisha katika majaribu makubwa ili akufundishe unyenyekevu. Anaweza kukutenga na watu au mambo uliyozoea ili akujenge upya na kukuimarisha. Kisha, kwa rehema Zake, akakurejeshea kheri nyingi zaidi kuliko ulivyotarajia, ili utambue kuwa Yeye ndiye Mola wa haki na kwamba kila jambo hutokea kwa hekima na makusudio maalumu. #creatorsearchinsights #viralvideo #fyp
hakika nilijuwa mimi ila tupo wengi allha tuvushe kwenye nyakati ngumu tunazopitia
2026-06-17 12:23:22
23
Cute suuh :
hakika mm ndonipo ktk kipindi ichokigumu nalia adi navimba macho usiku sipati usingizi na hisi kuchoka ata kuishi na feel nipotee kusikojulikana na feel kulia kwa sauti kubwa naskia uchungu moyoni ukwel Siko sawa na Sion bega la kuegemea ila naamin mungu atanivusha ktk Giza ili inshallah
2026-07-19 17:51:32
4
ليل حسن🤎✨ :
Fact✅
2026-06-16 14:49:28
1
zabrah the peace :
kwishaaaa
2026-08-02 20:42:23
0
My sarah🦋❤️ :
Inahitaji Subrah wallah dunia ni nzito🙌😢
2026-06-21 09:19:27
5
bst abd :
kweli kabisa ☺️
2026-06-16 11:00:16
5
sophia jabiri mwihidin :
Allah forgive me and my family plz my Allah nipe mwisho mwema mm na familia yangu ameen
2026-06-16 15:39:24
5
zukhura :
allah Atupe Sublah...
vingi Vinaumiza 😔🥺
2026-06-19 19:15:40
2
princess nanaa :
eee mwenywezi mung naomb uifany safarii yang iwe nyepesiii amen
2026-07-10 10:18:53
1
Alhabib Ibrahim Mwanga :
Swadakta 🤝
2026-06-16 10:27:09
3
Reyrey :
Amen 🙏 🙏 🙏
2026-06-16 11:52:46
1
PRIYA 💛💜💙♥️ :
alhamdulillah kwa yote ya Allah 🙏🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲
2026-06-22 17:28:50
1
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
Hakika
2026-06-16 15:41:20
1
AbdulRahman Hassan :
Alhamdulillah🦋
2026-06-16 19:01:24
1
princesmataly :
kabisaaa yani
2026-06-16 11:56:28
1
habibaty cyte😘 :
Kweli kabisa
2026-06-16 10:14:03
2
martinerbruno :
amin 🙏 yeye ndo anajua bora yangu
2026-06-18 15:34:35
1
usherdequte :
acha nivumlie😭
2026-06-16 15:18:52
1
kïddâñçér :
Kuna mda unapitia nyakati ngumu mpaka unakata tamaa unakosa mtu wa kumuelezea akakuelewa ndug wamenikataa mpenzi kaniacha Sina kazi upweke unasumbua njaa inasumbua ya rabby🙏 ninyooshee njia zangu
2026-08-25 19:26:50
1
Middo 45 real :
Allah akbar🙏
2026-08-11 08:43:33
1
Issa Khan food 🍱 :
😪true
2026-08-05 16:14:45
0
🇲 🇴 🇦 🇳 🇦Trends :
Alhamdhulilah
2026-08-05 05:34:50
0
Matano Rashid :
hii ni kweli kabisaaa wallahy
2026-07-30 22:23:46
1
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.