@siasatz: "Anatubagua "Kambale, Sato". kauli za ubaguzi zinazoongozwa na Mawaziri namuomba Rais wa Zanzibar achukue hatua, Kauli ya waziri ni kauli ya serikali".- Joseph Kasheku (Msukuma) #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30

siasazetu
siasazetu
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 10:01:09 GMT
186497
8838
558
311

Music

Download

Comments

robertjoachim1
Roby :
kwani wazanzibar tukiwaachia kizanziba chao tutapata asara gani
2026-06-16 14:11:51
78
muhami1318
muhami :
wazanzibari wabinafsi sana,hata kam me mzanzibari ila huo nd ukweli
2026-06-16 11:55:17
55
fadhila2935
fadhila :
safisana..
2026-06-17 02:25:24
0
islamicreligion914
abby sobhi🥰 :
m nnacho wapendea watanganyika hawaon wabunge wenzao wanapoongea ujinga
2026-06-16 10:35:09
35
saidimangorosho
saidimangorosho :
mbunge msukuma hao ni wabaguzi sana kama hawataki wavunje muungano kwanza wanatunyonya
2026-06-16 10:54:54
27
mbape168
mbape7 :
sisi wazanzibar hatutaki muungano wanalazimisha tu na wawo wanajua hatutaki muungano
2026-06-16 11:23:16
22
moudyj.r
ASTRO BOY :
Saivi Wazanzibari tumekuja kivyengine kuanzia sasa Wazanzibari tumejipanga kwa lolotee lile 💪💯🔥
2026-06-16 14:24:56
12
user984mapesa
yunu :
iyo kweli mie ni mzanzibar lakin sis ni wabaguzi tuacheni
2026-06-16 20:03:03
10
yussufjuma23
zanzibar :
munawatibu bure au wanalipia
2026-06-16 10:47:35
9
ali.mahmoud062
Ali Mahmoud :
muungano ulikuwa mkataba miaka mitano ,hivi Sasa hakuna muungano , watanganyika mnalazimisha huo muungano
2026-06-16 11:15:14
9
rphod1
👻 :
hatutaki mungano wa Zanzibar
2026-06-16 11:43:20
11
maimuna.batare.ka
Maimuna Batare Kassim :
Huyo ndiye msukuma ninayemjua.
2026-06-16 10:37:08
17
evans.moshi5
Evans Moshi :
kuna mama hapo nyuma yamheshimiwa anatamani ata amng'ate😅
2026-06-16 16:46:18
8
colfaram
MR LOGIC >< :
Sasa wanawezaje kujadili mambo ya Tanzania wakati wananchi yao ya ZANZIBAR
2026-06-16 12:56:33
5
sid50566
EDON ZNZ TRADER :
hamuwalishi bure wala hamuwatibu bure emu vunjeni huo muungano msinganganie sehemu ambyo hamutakiwi Wazanzibar tunasema hatutaki muungano hatuna shida ya kuendelea kuungana na nyie
2026-06-16 12:02:50
7
shawal7619
Shawal :
wooooo
2026-06-16 18:33:59
0
g.e.r.y7
. :
very intelligent man
2026-06-16 22:12:58
0
ifadatbakar1
ifadatbakar :
very good msukuma
2026-06-16 15:41:57
0
ahmedjuma8650
ahmed juma :
mbunge kutoka pemba alieka karibu na msukuma anapiga meza kweli tutafika wazanzibari unasubutu kugonga meza dah
2026-06-16 10:41:32
5
ghurayra
Ghurayra :
dah kumbe elimu muhimu mpaka mbunge anaona ana baguliwa, tatizo lilipo anza serekali ya Zanzibar ilitaka kuekeza pesa nyingi kwenye vifaranga vya samak ambao ni hao kambare na sato ili wazalishwe Zanzibar, waziri kaja na hoja haiwezekani hio ni uharibifu wa pesa coz sie tumezungukwa na bahari na tuna samaki wakutosha na wazanzibar hawapendi samak wa maji baridi kwaiyo uwo mradi utaharibu pesa tu nataman nielezee kwa upana zaid ili watu waelewe
2026-06-16 11:15:23
6
mimi123_wa.tiktok
Rakesh Bhai :
em twendeni 15/15
2026-06-16 20:37:11
0
nasma_hilal
nasma_hilal :
mbona sie wazanzibar hatulalamiki mukitubagua na mna panic mukisikia hatutaki muungano?
2026-06-16 20:29:03
1
inchargemanyot
A Ibrahim :
Zanzibar. uwemkoa tu wa Tz tumewachoka kwa maneno yao yakibabuzi
2026-06-16 15:21:36
0
mwalimujuma37
cama tz :
mmbo ya znz ynawahus nn nyinyi sio muna bajjeti yenu na ss tuna yetuu vp.
2026-06-16 12:49:37
2
user2969385518005
user2969385518005 :
kwa nn achukuliwe hatuwa kwani kakosea wapi waziri yupo sahihi sanaaa
2026-06-16 12:52:03
1
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About