@makanditz: NANDY amezingua sana

Makandi Tz
Makandi Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 10:05:37 GMT
68189
3843
199
73

Music

Download

Comments

anwary_01
Anwary🙆‍♂️ :
uko fact but punguza ujuaji kwenye kazi ya mtu brother
2026-06-16 21:33:06
55
chrisperon77
𝓒𝓱𝓻𝓲𝓼 𝓟𝓮𝓻𝓸𝓷𝓮🍃 :
kwan shida ipo wap si tuna enjoy bhn
2026-06-16 20:28:06
35
yesundookimbiliolangu
Dg Jackson Yesu ni njia🔱🔹 :
Sasa kama AI. inasaidia si msaidieni dogo rema au unaona comedy anazo tuletea kwenye nyimbo zake mnafurai 🙌🙌
2026-06-16 11:34:01
44
0611ally
Mr anything :
sasa mpka apo mm ni producer ni DM sasa
2026-06-17 06:46:55
22
wardaty.marwa
Wardaty Rutta :
tafuta kazi broo hiyo cio kazi
2026-06-17 12:02:17
19
ozzyvibez8
odhiambo :
Yani hii nyimboo nilipo isikia tu nikajua ni AI namimi sio ata producer
2026-06-17 13:21:30
15
nonoh.chiih
Nonoh Chiih :
kaza ww
2026-06-18 13:26:18
4
henaliitz1
Henalii tz :
kaka kumbe we ni producer
2026-06-24 19:06:36
0
floxwhite_
Floxwhite🈹️ :
sasa hii sound yako mbn kali kinoma sana
2026-06-16 19:49:07
12
dineo_tz
Dineo_Tz :
nili comment kwamba ni AI kwenye trela la nyimbo
2026-06-17 22:39:18
1
star_wa_mchongo
TANZE BOY_BONGO_ VIBE_LORDS.. :
😂🤣hapo me mwenyewe ntakua producer 🤣😂naacha kuimba njoonii kwenye account yangu mni follow tyu maana me sina kazi na ninataman trend sana 🤣😂
2026-06-19 21:06:39
0
jenniealoice
jenniealoice :
kwani nini sasa kikubwa kaimba na nyimbo ni nzuri hayo mengine hatutaki kusukia
2026-06-17 08:08:35
10
sammyh294
Sammy :
mbn m Sion shida
2026-06-18 21:01:52
1
ahmadabdallah175
madiso melody 500 :
uyu jamaa anacho kiongea ni kweli ✍️✍️
2026-06-17 09:45:32
8
frain007
Stephano Zabron :
shida njaaa
2026-06-20 20:22:16
0
mamy_de_cute
Mammy_de_Cute :
Na mimi naanzaa kuimba
2026-06-17 12:08:18
0
datty2026
dATty⚖️???🌍 :
wazee wa sunoooooooo TUJUWNEEEEE
2026-06-18 11:21:57
2
siahissa2023
siahissa🌹❤️ :
sawa
2026-06-17 08:43:38
1
user5390449017381
mill :
kwahyo tukusaidie nini??
2026-06-17 21:49:43
1
nitas_hasan
Nitasbeatz( way) :
nikweli makandi
2026-06-16 22:19:12
4
barakasenior
Baraka Senior :
mimi sioni shida
2026-06-17 07:02:34
5
championboreanaz
Champion TZ :
Kaka kweli anazani atujui?
2026-06-17 19:30:12
0
goldxaau1
P2P :
Wasanii wengi sasa wanatumia Ai bro utachoka
2026-06-17 19:05:28
3
fele892
fele-gta :
ulikuwepo
2026-06-16 22:40:25
3
fadhilirashid1
king fedha :
tengeneza na www
2026-06-16 21:31:47
2
To see more videos from user @makanditz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About