@zach_lyimo: Uso kwa uso na masister wa mt Theresia wa mtoto Yesu na jembe letu #padrekessy Mungu awabariki sana kwa maombezi yenu kwetu, nasi tunazidi kuwaombea 🙏🏼🙏🏼🙏🏼 @KMK MAKUBURI pokeeni salamu huku #tegemeoletu #kwayakatoliki #mshindi #neemazamungu
Zacharia Gerald
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 10:15:11 GMT
Music
Download
Comments
mazoba nsize :
hongera
2026-07-12 20:06:23
1
justinemaingu :
daa Makuburi kwakweli wana baraka ya kuwa na watunzi bora kabisa wa nyimbo za kuinjirisha Romani katoliki🙏🙏🙏
2026-06-16 12:36:00
26
HILDESWEET 😋 :
unafikaje hapo natamani kufika naomba ramani
2026-06-16 16:36:55
17
AndyVillas 👷⚡️ :
Ndugu yangu katika Imani! Mungu akubariki kwa kipaji chako! Nyimbo nzuri sana ile uli itunga ina nibariki sana! 🤝
2026-06-19 03:32:38
17
Teddy gusse :
milele aminaa
2026-07-12 12:27:57
1
Nick :
wonderful 👏👏👏👏
2026-06-19 04:49:48
2
Tony Msongela Jr :
nmefurah kumjua kaka Zakaria 😂😂 huu ndio wimbo wangu pendwa nina harusi mwezi 8 nitaingia nao ukumbini ubarikiwe sana 🙏
2026-06-18 19:12:29
13
Apolinary Mungai Msele :
Hongera nyingi kwake mtunzi wa wimbo...
2026-06-17 12:04:05
5
Frola Mwangonji :
nimefurahi sana ni wimbo ninaoupenda sana
2026-06-16 16:30:58
5
pendo kalabo :
Mungu akubariki sana kaka zakaria
2026-07-11 20:01:08
1
Kido :
Hongera sana kwake kwa wimbo nzuri🙏
2026-06-16 17:25:53
6
user8783330469392 :
🌷🌷Apokee Maua yake
2026-07-10 09:16:42
1
@NYANGOMA🗯 :
asante
2026-06-17 14:00:23
1
Perseverance :
Amen
2026-07-04 13:49:22
1
annmbongwa :
Mahujaji wa matumaini pamoja katika sala mtunzi wa huo wimbo mwenyezi mungu amjalie maisha marefu, nguvu,na matumaini,🙏🙏🙏🙏
2026-06-16 16:53:20
6
Helen Patrick :
mungu akuzidishie maisha marefu kaka yangu
2026-06-25 17:14:58
2
fau22 :
wow 🥰🥰🥰
2026-06-19 06:44:29
1
celina Sebastian :
hongera sana kaka
2026-06-25 03:12:43
1
Icap Driver4 :
AMINA
2026-06-18 10:31:23
1
telesiamajaliwa :
mung amlindee jaman
2026-06-17 19:45:15
1
Aniseti Frolence :
vizur
2026-06-17 19:09:27
2
fredmwisongo :
mungu akuzidishie
2026-06-18 07:03:38
1
Apap :
I like The man
2026-06-18 11:34:23
1
Modester Sagi :
hongereni san nawaona
2026-06-26 07:08:32
4
blessed one :
naupenda wimbo huo sana Hadi watoto wangu ubarikiwe sana ndugu
2026-06-22 08:00:15
4
To see more videos from user @zach_lyimo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.