mbona me nimechoka mpka nimesha anza kuamini mungu hayupo apa tu nalia😭😭
2026-06-17 06:17:23
56
Miss smile 🍒 :
Mungu akubariki wew unaesoma comment hii
2026-06-17 17:57:20
56
mimie💙 :
jamani nawezaj kuoka kwel 😇😊
2026-06-16 22:34:57
29
steven siafu :
Kaka vipi, Barikiwa sana kwa kazi ya Mungu unayoifanya, ila kuna kitu nikikiona kwako kwangu hakiko sawa, ni hizo nywele bro, kama umeamua kufanya kazi ya Mungu basi hata namna ulivyo uwe vile inavyompendeza Mungu, Barikiwa sana🙏
2026-06-16 18:55:56
23
Qsa official :
Amen🙏
2026-06-16 10:31:51
29
God first :
Keep preaching the gospel bro🤝.Ur doing a very great job,God bless u 🙌
2026-06-16 17:48:11
20
Dollar bills 💸🤗 :
YESU kimbilio langu ajawai kuniacha 🥰🙏
2026-06-18 18:30:06
21
Pride of God🛐👑 :
na kamwe hawezi kuvunja kama na sisi tukimuamini🙏🙏
2026-06-16 17:33:30
28
janney_twiga :
umekuja wakati sahihi😭😭
2026-06-17 19:28:27
13
debby king :
Mungu n mwaminifu hata kama hajafanya kama nilivyoomba be blessed kijana
2026-06-16 12:13:09
13
Charisma :
HAIJALISHI IMANI YAKO AMEN!!
2026-06-17 16:30:01
7
Mirium John :
huyu kijana nampenda jmn
2026-06-16 17:27:05
10
Jen Juma :
amen MUNGU hajawahi kudanganya ni swala la Muda tu
2026-06-17 05:25:53
10
sinogutwa🧡 :
naomba tushirikiane Kumtangaza MUNGU na utukufu wake
2026-06-21 09:49:01
5
A N G E L A 🌸 :
Marco Mungu wa Mbinguni akubariki😔
2026-06-16 17:25:58
5
Golden Heart❤️ :
Amen.nashukuru kwa Hilo ulilosema
2026-06-16 15:19:06
6
kingu jr :
Leo umenyooshaa sana pastor 🙏
2026-06-16 16:35:34
5
dotto Charles :
Amen be blessed more bro marcko pale msalabani tote yalikwisha
2026-06-16 10:40:45
5
Ester ndendya :
AMEN🙏
2026-06-19 18:15:06
3
angelamaximo🥰 :
Mungu ni Baba mwana na roho mtakatifu ajawahi kumwacha Mty
2026-07-05 05:40:47
3
Tresa💦 :
nimekata tamaa kabisa hata sijui kesho yangu hivi bado MUNGU yupo 😔
2026-06-25 04:05:36
2
neymchau :
AMEEEN🙏
2026-06-20 06:13:43
1
Veejay :
i love the way u teach with passion
2026-06-21 14:02:54
2
.........💜 LOLLY🦋💃........ :
am passing through a lot guys 😩😩 sometimes nahisi kama Mungu amegeuza uso wake kwangu💔 sometimes nahisi mm ni mdhambi sana Yan dah💔😩
2026-06-17 19:26:07
3
To see more videos from user @marcoraphael7, please go to the Tikwm
homepage.