@pmakanshu_life_revival: Mafuta ya Mnyonyo hayatakiwi kukosa kwenye mazingira yako. Yatumie kuondoa inflammations na kuondoa vivimbe mwilini. Kumbuka unachokula ni determining factor kuu, Kisha tumia Mafuta haya uone nguvu ya uponyaji ya asili. #kuishibilamagonjwainawezekana #eachoneteachone #drmakanshu #creatorsearchinsights