@ochuh77: mtembezi..!!🇴🇲 #fyp #viral #trending #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿

𝐎𝐜𝐡𝐮𝐡77🇴🇲
𝐎𝐜𝐡𝐮𝐡77🇴🇲
Open In TikTok:
Region: OM
Tuesday 16 June 2026 10:44:32 GMT
2555
169
37
4

Music

Download

Comments

nasma.hasan3
Nancy 🇹🇿💕🇴🇲 :
halaf kuna mimi nimemisi zangu mlenda na miguu ya kuku👌👌👌👌👌👌 home sweet home Raha 🫡🫡🫡🫡🫡
2026-06-16 15:45:25
2
user764056387
Amina@#oman🇴🇲 :
hahahaha😁😁😁
2026-06-16 15:56:04
0
fetty49857
fetty :
mi napenda wali lkn sio hii Yao Haina ladha nimechoka 🙌
2026-06-16 10:54:33
1
nasmaally59
mamaa karash :
lakin vinachosha jaman
2026-06-16 14:49:02
0
emiryhtz
Emiryhtz :
turudi tu nimekumic ugali dagaa minyanyachungu pilipili na tembele
2026-06-16 11:41:01
5
pendo3986
pendo :
🤣🤣wali gani wa kumwaga maji mbay sana
2026-06-16 14:46:08
1
tatumshakamai
🇹🇿Ummu Muswaaddiq🇴🇲 :
tumechoka kweli kaka khaa Michele unapo roekwa masaa 4 aisee hapana kuku wanavaa Pedi hapana tunakula tusife tu
2026-06-16 13:47:43
1
user9246558675345
Adventina staricko :
haha hay ban
2026-06-16 11:04:11
0
user76214781070250
cute rahima♥️🌸 :
na turudi tu kwa wali gan hauna radha 😂😂
2026-06-16 12:32:05
1
kids.mother6
kids mother :
Usinichanganye bhana nimeshachanganyikiwa mm 😂😂😂
2026-06-16 11:14:33
0
najmerh.birah
Najmerh Birah :
tukifika sas utaskia ugali kila siku 😏😏😏😁😁😁
2026-06-16 14:30:14
0
eliza.mmasa
Eliza Mmasa :
😂😂😂 acha basii kunisema😁😁
2026-06-16 15:21:09
0
maryamenosh
Maryam Enosh :
Ata mm nimechoka wallah lkn wali watz sijawahi uchoka ata nile mwka mzima
2026-06-16 14:33:01
0
user4128759530734
yusra :
cjui nikuokotee mawe😁😁😁😁
2026-06-16 16:41:03
0
mamu.om51
Mamu Om :
🤣🤣🤣nimechoka kweli
2026-06-16 17:52:58
0
arafathenzaniya6
arafathenzaniya :
shida sokula shida ni kazi nyingi na masimango
2026-06-16 18:02:49
0
user86722365433354
aziza [email protected] :
m. nimemic dagaa tembele mlenda 🤣🤣🤣
2026-06-16 16:06:38
0
fatuma.hamady5
Da tuu 7936 :
me kiukwel nakula nnachotamn kuhuc kula wapo vizr
2026-06-16 11:21:34
0
rajabhalima755
kuruthumu omary :
🤣🤣🤣🤣kwishs🤣🤣🤣
2026-06-16 17:41:52
0
vee.money38
Vee money :
kwan tulivokuwa Tz tulikuwa hatuli hizo kuku na samaki sema ugali lazima tuumis kwa7bu haupatikani
2026-06-16 15:47:09
0
mariam.mussa18
mamuu mpole🦋💫 :
😁😁😁😁kusema ukweli mie sijachoka ila nimemis kuku wa kwetu ila eshi naupenda
2026-06-16 17:56:36
0
salha.mohmmed0
Salha Mohmmed :
kwakweli tena nikipika ugali uku nauona mram nilikuwa nakuchukia kuona ugali ila jaman tuseme tu ukweli awajatufikia kwa vyakula vyetu jamani hee😂😂😂😂😂
2026-06-16 17:27:54
0
mkasi.said.seif
mkasi said seif :
tukirud tunamis tena oman😂😂😂
2026-06-16 13:21:17
0
allahamdullilah09
team fulusi :
Binadamu hatunaga shukurani ndivo tulivoumbwa
2026-06-16 11:02:24
0
To see more videos from user @ochuh77, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About