@adalles_tz3: Kibuli kinaua mahusiano, usikubali kibuli kivunje mahusiano yako..Asante kaka @Amani_dimile

Adalles_Tz
Adalles_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 10:57:30 GMT
51154
2355
93
407

Music

Download

Comments

jullianakindimba
miss me :
yaaani sijuh nisemaje mm ndio nimekua nikimtafuta kumpigia mara Kwa mara ukituma message hajibu na ana blue tick kabisa hata dakika 5 hazijaisha ashaisoma lkn ndio hajibu eeh mungu nitetee mm ndio first lover😭😭
2026-06-17 09:21:44
9
johary.johary85
Johary Johary :
Sasa mbona umechelewa kusema hii mpk tumeachana 😩😩ila bado nampenda
2026-06-18 20:03:47
3
ndimbolau
Laurencia :
achaa yafeee kabisaaa
2026-06-17 16:14:10
5
naomi.malosha
Omiles :
Ahsante umenigusa kaka
2026-06-18 18:59:05
1
murexstar007jason
Murex07Jason :
kweli kabisa 👍
2026-06-18 04:15:40
1
realmshua
Ezekiel Mwakajila :
Umeamua kulisema sasa😂
2026-06-18 19:53:01
1
hysome62
Hysome :
tatizo Brand kakaa
2026-07-05 06:21:18
2
user35561957009477
Nurah 💕 :
ndo ki2 napitia sahiv
2026-06-19 08:17:27
2
neemaathanazi1
@NeemaAthanazi :
ndo tumeshafikia uku mi na mpenzi wangu lakini acha niendelee kulinda brand
2026-06-18 06:21:25
5
bashir.nyoni
Bashir Nyoni :
Kabisa kaka
2026-06-18 13:34:43
1
olivabilali
Oliva maiko bilali :
kwer kabisa
2026-06-18 01:08:50
1
stella.paul444
Stella Paul :
mhhhhhhh mnatakiws kutafutana
2026-06-24 17:26:03
1
itsmeveepoul
vee💕 :
Samtm unmkumbuk kwel uhtj walau mda wake lkn yy xx🥺
2026-06-29 11:30:06
1
rusula.thomas
Rusula Thomas..... :
nimekuelewa sana
2026-06-18 07:54:13
1
user1139161578851
♥️🥰💕😍ashifayna :
japo. badonampenda sana ila nitaxoea tu
2026-06-19 07:28:15
2
emmanueldaimon14
Baba fey 🙏🙏🙏🙏 :
kwasasa hivi wacha nimuachie mungu tu na nitafute hela tu baada ya kukosana nimejitahid sana kujishusha kuomba yaishe lkn alichukulia poa na ndo akazisisha dharau kwangu ,bas nikajivua mazima
2026-06-24 04:17:09
1
itsfey73
glam fey😘 :
mambo yakushindana ndo sitaki 🙌🏽
2026-06-26 23:00:03
1
user8460065887426
Christina :
Mm nae nitajitahidi kulinda brand siwezi kumtafuta mt jukumu la kunitafuta ni lake kama hataki aache
2026-06-18 21:24:12
3
tina.kahati
Tina Kahati :
Hii una ongea ukwali kk sio uongo
2026-06-17 10:19:29
1
nzoleswalehe
hadija simati :
kweli kakaa asante
2026-06-17 11:28:35
1
makanda.mlenda
Makanda Mlenda :
MUNGU niongoze🙏
2026-06-17 08:08:34
1
diananyenza2
Princess 👑 :
Duuuh hatari sana!!!!
2026-06-21 22:10:16
1
nyalwe.cuul
Nyalwe Cuul :
2026-06-17 21:35:53
1
To see more videos from user @adalles_tz3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About