@mwinyiamiraboubak: Mufti Afunguka Siri Ndiyo Juu Ya Hali Ya Baraza Kwa Sasa NI Tamu-sheikh Abuubakari Zuberi #jubril #filmclips #film #like #darsatv

Abuubakari1
Abuubakari1
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 11:08:12 GMT
53482
2037
76
81

Music

Download

Comments

mtambo_official
mtambo_official :
mbona mpaka leo akuna anaowataka zaidi ya serikali tu
2026-07-14 17:42:23
9
user7367058260167
MZEE WA RAHAA :
muft apewe warid
2026-07-14 22:21:09
3
silalooh
Sillalooh :
SHEKHE WETU tu naomba mngethibitisha kama kwel SHEKHE walid katenda kweli na mtupe ushahid tufaham 😳 imeniuma sana walidi kuwa na tuhuma nzito kiasi chichi
2026-07-15 18:48:03
1
haloo2518
haloo25 :
ni kweli hili baraza hatulitaki kwa mungu kesho mutakwenda kujibu nn maana ya bakwata na mutajibu
2026-07-16 20:10:21
0
thabit.ngangila
thabit ngangila :
mageuzi yapi? elimu? uchumi ? afya? maadili? lipi ktk haya?
2026-06-18 04:47:12
3
halima.ahmed268
Halima Ahmed :
baraza lisha poteza mwelekeo pia wazee waachen wapumzike tafuten vijana tena wapigiwe kura msije mkachaguana bora ipigwe kura kuwachagua
2026-07-15 14:43:28
6
zedco_used_spare
ZEDCO USED SPARE ENGINE USED :
nadhan wanaokataa sikwasababu ya kua masheikh wa Baraza hawana elimu Bali uadilifu. na kua tayar kujitolea kwaajili ya Uislam nadhan hio ndio shida wanayoiona.
2026-06-17 09:06:10
1
sophia.msumi5
Sophia Msumi :
daaah walid🥰🥰
2026-07-15 16:24:36
1
muntarisuleimani2
Muntari Suleimani :
siasa hizo shekh mrudishee wald shekh wetu
2026-07-15 17:55:36
2
rahiyan81
rahiyan :
hatuwataki kabisa wala hatuwafati
2026-07-15 06:07:09
3
muoman
mufti wa wete :
kwanin dhehebu moja linaongoza
2026-06-16 19:28:50
0
thaniy62
THANIY :
Kwann icho kipengele cha naibu mufti kikaondokewa?
2026-06-17 15:44:55
1
bin_salim972
binsalim972 :
Hapa Nimeelewa Kitu, Pengine Wanataka Kumuweka Sheikh WALEED Kuwa NAIBU Mufti Kwa Siku za Badae
2026-07-16 07:00:47
1
alhamdilla5
Amour Al harth :
Tunamtaka sheikh walid omar kawambwa Dar es salaam basi
2026-07-15 18:16:07
1
user1207867612662
❣️❤️gulderan nigeria❣️❤️ :
roh mbya t mmeona shekhe walid atakuw muft
2026-07-15 21:18:27
1
user7734999518246
user7734999518246 :
mpka sasa hatulipendi
2026-06-18 05:50:04
3
masokolindo0
masokolindo :
na vyeti vya ndoa atutaki viandikwe bakwata .
2026-06-18 17:41:18
2
khadijahemed823
Khadija Hemed :
nikwann alikataa
2026-06-16 20:43:16
1
mutlack
mutlack :
cha hovyo kweli
2026-07-17 05:55:09
0
matevamusa2
Mateva Mindlab hub :
huyo ni sheikh twaha suleiman bane alikataa kabisa
2026-06-20 11:18:50
1
user4151484988320
Ashimu :
wallai billah tallah tunataka kadhi urudi sio bakwata
2026-07-17 10:06:26
0
mwape.shaibu0
Mwape Shaibu :
ss tupo sawa na nyinyi mamuzi yenu sio sawa kabisa
2026-07-17 12:54:44
0
user9475472623365
user9475472623365 :
tunaonba mturudishie shehe Walid wetu
2026-07-17 07:17:26
0
mohammedpunja7
mohammedpunja7 :
Wakati umekwisha kweli, waumini tunayumbishwa, hatari hii kwa umma
2026-07-17 06:56:36
0
aisambestland
aisam.bestland :
Huyo sheikh aliyekataa wenda ndiye mwenye Akili zaidi
2026-06-17 04:39:13
0
To see more videos from user @mwinyiamiraboubak, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About