@eddy_minister: "Yesu usinyamaze, napokuita usinyamaze..." 🕊️❤️ Kipande kidogo cha cover ya wimbo huu wenye baraka kubwa kutoka kwa @minister_frida_denis na @Jastin Asifiwe. Huu ni wimbo wangu wa maombi kwa sasa. Sikiliza hadi mwisho, na ninaamini utabariki moyo wako pia. 🙌💯 #Usinyamaze #WorshipCover #TanzanianGospel #ChristianMusic