@talkboutitwithconradley: Hatua ndogondogo za leo.. #fyp #talkboutitwithconradley #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #creatorsearchinsights

talkboutitwithconradley
talkboutitwithconradley
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 12:06:14 GMT
457488
41825
1451
4218

Music

Download

Comments

midekoh09
FADHILAH🦋 :
nimechoka sana i need hugs💔💔
2026-06-16 16:13:53
336
salmayusuph57
Salmayusuph🥰🥰 :
🙌🙌nilikuwa nalala saa8 nalia wee saa9 nipo macho naswali nkulia tuu daaahh Mungu ahsanteh kwa Yote simu unakaa nayo week nzima hamna wakutaka kujua umelalaje au umeamkaje Mungu ahsanteh🤲
2026-06-16 19:15:06
196
sharifacollection25
BabyFace🥰🥰 :
My situation right now yaaan nmechoka jamn
2026-06-16 12:40:09
113
zainabukilumbi66
MAmA KiDu🧕 :
😭😭😭yaan cjui nisemaje moyo umechoka umechoka💔
2026-06-17 08:46:14
28
user22324138690500
Scorpio🦂 :
I need hug 🥹
2026-06-17 11:59:28
16
cutehawa1
Hawa Alliy :
ni mm jmn nimechokaaa nyie 🥺kuna siku naamka nakulia siku nzima nyie
2026-07-27 22:20:46
7
survivormurumbapaul1
survivor :
my situation right now 😢😢💔💔💔💔
2026-06-17 16:18:28
10
fadhila0970
fadhila :
kunawakat unafika unahitaji kubaki namungu tu nasio mtu yeyote
2026-06-17 10:17:40
23
user7117581263081
~selflove🫰 :
Munguu jamanii mwacheni aitwe Mungu mimi nilikuwa mtu wa kulia na kokosa hamu ya kula kisa mapenzi ila kwa sasa nipo na amanii na fraha tele kwasababu nimeachilia kbs mtu kama atanipenda basii atanipendaa tuu mapenz hayalazimishwii nilivoelewa hiki kitu yaan saiv nipo na amaniii Mungu akawaponye na wengine wanaopitia hii hali watambue kuwa wao ni wathamanii✨🤍
2026-06-17 05:07:29
24
shirana.shiraq
Anna phupy :
I need someone to talk to
2026-07-18 11:47:50
5
dolphin41286
Dolphin 🐬 :
💔😭nashindwa hata kueleza mm nishamuachia mungu afanye kazi yake
2026-06-18 04:44:35
15
user388858800676
user388858800676 :
Nikweli kabisaaa
2026-07-16 16:50:44
6
floracosmetics12
Lora_store :
Najua MUNGU anakusudi na mimi 😭
2026-06-17 18:18:30
18
sarah.noel6
Sarah mushi :
Nimechoka sana jamani 🥺
2026-06-19 17:42:08
5
dimplesbaby10
Ms.dimples❣️ :
oooh Munguu nikumbukee..
2026-06-16 23:06:56
7
naanely
naanely :
watu wanapitia magumu hizi comments zimeniliza poleni wote mnaopitia magumu Mungu awakumbuke🙏🏿❤️
2026-06-19 18:05:43
6
pendongughu
burah :
Huyo mimi naomba usiendelee nitalia😭😭😭
2026-06-17 15:31:46
7
user7609216106777
user Rosie minja :
🥹🥹🥹🥹🥺🥺🥺🥹🥹🥹 Mungu nisaidie ninayopitia ni mengi tena magumu
2026-06-17 12:42:13
9
dorry790
daughter of almighty :
ooh my God that is me🥲🙏
2026-06-18 05:26:12
11
user6536127218720
Baby Angel🥰😘 :
Mungu aseme na moyo wangu ty
2026-06-17 02:48:15
6
fatinamhidini8
Mama smaiyah :
ndo maisha yangu lakin bado Nina Imani na kesho yangu🥰
2026-06-17 04:46:59
16
eshekikibai107
eshekikibai107 :
ukipambana sana na kuwa na mafanikio unabatizwa jina la roho mbaya
2026-06-17 19:29:42
7
keza.mariam4
Keza💋🇷🇼 :
Just starting watching this video tayali machozi yanaanza kunitoka jmn, Mumgu nipambanie maana bila ww siwezi 🙏🙏🙏
2026-06-17 18:34:41
13
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About