Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@styagl_:
styagl_
Open In TikTok:
Region: ID
Tuesday 16 June 2026 12:17:03 GMT
2779
350
4
22
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.85MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.85MB
)
Watermark .mp4 (
1.87MB
)
Music .mp3
Comments
astusvaha id :
2026-06-16 20:36:58
0
💫💫bg musik💫💫 :
😂
2026-06-17 00:48:11
0
Bhayek Tattoo Art :
❤️❤️❤️
2026-06-17 18:36:24
0
To see more videos from user @styagl_, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Tomy Shelby Motivation #motivation #thomasshelby #tomyshelby #LifeAdvice #shelby #fypシ
VIDEO: Mmiliki wa lori ambaye pia ni dereva, Khalfan Ndamo, amedai kushambuliwa kwa kipigo, kuporwa fedha taslimu Sh milioni 1.5 pamoja na kutishiwa kuuawa akiwa ndani ya Kituo cha Kuhifadhi Makontena (ICD) cha Farion kilichopo eneo la Sabasaba, Wilaya ya Temeke, wakati alipokuwa amefika kushusha kontena. Akisimulia tukio hilo, Ndamo alisema alikuwa ametoka Zambia baada ya kushusha mzigo na aliporejea nchini alipewa kibali cha kushusha kontena katika ICD ya Farion. Alisema aliwasili katika eneo hilo majira ya saa 11 jioni, ambapo baada ya ukaguzi wa kontena, yeye pamoja na madereva wengine wawili waliombwa kusubiri kwa madai kuwa kulikuwa na shughuli za upakiaji wa makontena bandarini. Kwa mujibu wa maelezo yake, baada ya kusubiri hadi usiku wa manane, mtu aliyejitambulisha kuwa msimamizi wa ICD hiyo aliwaeleza kuwa makontena yao hayangepokelewa na kuwataka waondoe magari mara moja. Ndamo alisema walijaribu kueleza kuwa kutokana na maadhimisho ya Sabasaba hawakuwa na sehemu salama ya kuegesha magari nje ya yadi, lakini maombi yao hayakusikilizwa. Alidai kuwa muda mfupi baadaye mtu huyo alipiga simu na kumuita mtu mwingine aliyefika akiwa na rungu. Mara baada ya kuwasili, mtu huyo alianza kumpiga tandiboi wake kabla ya kumgeukia yeye na kumpiga sehemu mbalimbali za mwili, ikiwemo mgongoni, mabegani na miguuni, hadi akaanguka chini. Ndamo amesema wakati akiwa hawezi kujitetea, watu waliomshambulia walimpekua na kuchukua Sh milioni 1.5 pamoja na kumpokonya baadhi ya nyaraka zake. Aidha, alidai walimtishia kuwa endapo asingeliondoa lori hilo ndani ya yadi angeuawa. VIDEO FULL IPO YOUTUBE YA CHAWAMATA TV. NB; Chawamata Tv tulifika mpaka ilipo ICD ya Farion tukafanikiwa kukutana na Meneja ambaye alijitambulisha kwa jina la Zawadi Seruhere naye alikiri kwamba ni kweli Khalfani Ndamo alishambuliwa katika ICD hiyo, lakini hakusema zaidi kwasababu anasema kesi iko polisi na polisi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni #DarEsSalaam #Tanzania #Bongo #Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews #BongoUpdates #TzUpdates #TzNews #BongoMedia #MediaTanzania #OnlineTV #TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ
Oh yesooo we move#gozek #music #fyp #goviral #PrinceGozieOkeke
Anca Mezarda Uslanırız 🦅 #keşfet #raconstory #storylikvideolar #raconsözleri #raconsözler
#celebs
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy