nimemuuliza hadi chat GPT kanijibu hiyo ni lipa namba ya kanji 🤣
2026-06-16 13:46:43
23
isaya official :
2026-06-16 13:22:35
13
Adolf 45 :
58X22C sportybet odds 100 best luck
2026-06-16 15:09:59
1
user.. :
Mkuu ukiipa never down team flan
1. hyo team ianze kuongoza goal
2. isiwe level yan isiwe draw kweny dakika zote 90 za kanji
3. mfano ikiipa team A never down ikaongoza 2 then ikachomolewa ikawa draw yan 2-2 hapo hata kama team A itarudisha tena na kuongoza mchezo kuwa 3-2 hapo UMELIWA
4. kiufupi ukitoa never down kwa team flan yan isi draw wala isipigwe
2026-06-16 13:22:27
11
official lady g :
ila tuondoe utani sativa ni handsome 🥰🙈🙈
2026-06-16 16:00:08
4
BRIGHTON_MAYNERS :
No never down inaamanisha lazima timu ishinde yaani timu ishinde mechi bila kutanguliwa hyo ndio maana yake ya never down
2026-06-16 17:48:32
4
. :
never down ni ashinde bila kuongozwa
2026-06-16 22:20:23
1
Domisian Teodory Lunaku :
never down ni time lazim ishinde sio draw sio nini ni kushinda
2026-06-16 15:22:21
1
HkingBoY Op :
Tunao kubariana ni lipa namba ya kanji gonga like
2026-06-16 15:06:05
3
Frank Chengula :
uwakika kaka bola ova2.5 na12
2026-06-16 16:29:30
1
jovial topid :
kaka kuna option inanichanganya hii ya last kona
2026-06-16 13:04:22
0
Ramadhan :
ongea taratibu
2026-06-16 22:10:14
0
NaTional AsSeT🇹🇿 :
possession may be
2026-06-16 19:27:28
0
Ima :
Dah
2026-06-16 20:11:16
0
Emmanuel Paul :
sio hivyo kaka ... never down maana yake timu uliyo ipa isiwe nyuma mda wowote kweny mchezo .. na mwisho ishinde match
2026-06-16 21:24:53
0
eriquue_mf :
kwani Ina odds ngap hii option
2026-06-16 19:33:55
0
SAMAEL :
draw no bet
2026-06-16 14:35:58
0
Denge Magang :
never win
2026-06-16 13:44:06
0
Fally_chuma 92 🌵 :
2026-06-16 15:25:53
0
ᴡɪʟᴏɴ ᴍᴀsᴛᴇʀ :
😅😅😅😅😅lipa namba ya kanji nilishtuka mapema Sana
2026-06-16 15:00:44
0
Immaliano Jr :
2026-06-16 18:47:23
0
Elisha Myoka :
kak lazima hiyo timu ishinde m nliweka kwa Sweden imetia
2026-06-16 16:20:05
0
STAVE💪 :
me kwa spain niliweka never down ikachana
2026-06-16 18:00:22
0
cow boy jr maestro :
nomaa
2026-06-16 15:56:53
0
godila :
😂😂😂lipa namba
2026-06-16 12:56:48
0
To see more videos from user @sativa255_, please go to the Tikwm
homepage.