Jer.1.8 Do not be afraid of their faces, For I am with you to deliver you," says the LORD. (NKJV)🌹🥰
2026-07-22 02:51:42
0
mariaamor56 :
my situation right now 😭😭😭😭😭
I'm giving up 😭😭😭😭
2026-07-22 09:29:11
0
TEE@SPA :
i am calm because i trust my GOD
2026-07-21 11:45:19
1
TEEOUTFITS🔥 :
Hata kusali Unajikuta unashindwa Unalia tu😭😭😭😭😭😭
2026-07-04 06:27:20
149
Annah♊555🧿 :
Yan mtu unabadirika kabisa 🥺unakuwa na hasira muda wote +kulia eeh Mungu 😭🙌
2026-06-16 19:39:04
247
Mama boy Tz :
My situation right now 🙌🙌😢
2026-06-16 19:00:21
92
@glory_Smile :
Nisingekutana na Hii leo, Sijui kesho ningeamkaje🙏
2026-06-16 17:12:52
82
depgal4 :
nimetafuta kazi kila mahali nmetuma naomba mpka nimeshafanya kila kitu ila wapiiii du
2026-07-19 13:40:23
5
Cherrie Joh :
Me right now🥺🥺
2026-06-17 12:32:45
14
Meg💨 :
niko kwenye hali ambayo kwa nje naonekana mtu mwenye furaha lakini moyoni hakuna furaha yoyote💔,nmekata tamaa ata kwenda kanisani,nasali naona ata imani haipo😔😔
2026-06-17 08:02:30
31
baby❤ angel💕💕 :
😭😭😭 au mung ayupo au mi ndo niliandikiwa ivi
2026-06-23 20:47:03
6
Kelvin thug 🖕 :
me naish bora kumekucha tu sioni Ata maana ya kuishi duniani
2026-06-23 12:27:05
8
AISHA🥰 :
Mi ndo nipoapo ila sikati tamaa mungu yupo nami 😭😭😭😭😭
2026-07-05 15:35:22
6
Gal from heaven🦋😘🫂 :
current situation😫 but still trust on him😥
2026-06-16 20:22:16
6
happiness :
mm hapa nimechoka nashindwa kuomba hata tumain sina na kanisan siendi nipo hata sielew kitu
2026-06-24 15:31:35
6
Martha Steve♓️ :
Nipo kwenye ii situation 🥹na sina wa kumuambia nina kitu kifuani kinanikaba yani😭🙌🏻
2026-07-04 06:02:29
10
ANNAAH :
Nipo apa kama umenichungulia dada angu.😭😭
2026-06-18 11:25:03
9
Mama Mulla🥰 :
ktk hali zote huwa naamini Mungu yupo🙏
2026-06-17 12:00:54
7
zuu🍃 :
Nipo kwenye iyo situation nimeskia kulia wallah
2026-06-16 16:29:35
4
Sarah beauty salon💎 :
😭Maisha yangu kwa sasa
2026-06-16 19:45:15
10
📍𝑻𝒊𝒎𝒊𝒍𝒂 𝑫𝒐𝒏👑🧢 :
My situation right now 🙌🙌😢 eeeh yesu
2026-06-16 19:27:31
8
Yanna :
🥹🥹I need a hug
2026-06-16 21:05:56
6
maudodo 🫧🥳 :
yote hayo nishapitia niko kweny situation y sijui nafany nn uku duniani sioni njiaaaaa 😭😭😭😭😭😭😌
2026-06-16 20:42:55
13
Jay 💝 :
Nilishahi pitia uwo Muda nikamuangalia sana MuNGu nilimuomba sna Mungu na Mungu alinipitishq salama na Alinilisha kama Njiwa hapo niliamini Mungu yupo na Ananisikia
2026-06-16 20:28:09
6
To see more videos from user @tinah_kanel, please go to the Tikwm
homepage.