@vipajivingi_creatives: 🏡 FINISHING BORA SIO GHARAMA, NI UWEKEZAJI UNAOIFANYA NYUMBA YAKO IONEKANE TOFAUTI LEO NA KUDUMU KUVUTIA KWA MIAKA MINGI. ✨ Watu wengi huangalia ukubwa wa nyumba, lakini kinachoifanya ionekane ya kifahari ni finishing. Unaweza kuwa na nyumba nzuri, lakini finishing ndiyo inayoongeza thamani, mvuto na hadhi yake. Kuanzia rangi, gypsum, paving, tiles hadi mapambo ya mwisho hapo ndipo uzuri halisi huonekana. Usijenge tu nyumba, ijenge kwa muonekano unaostahili ndoto zako. 📲 Wasiliana nasi kwa huduma za finishing za kisasa na zenye ubora wa hali ya juu. +255 762 637 807 #creatorsearchinsights #viral #tiktoktrend #fyppppppppppppppppppppppp #fyp
vipajivingi_creatives
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 13:34:34 GMT
Music
Download
Comments
Da Amina cosmetics💕 :
Naitaji lamani
2026-10-02 11:12:21
1
Sharon Kambugu :
Hizo tiles mbona sioni joint kabisa mmefanyaje??, au tiles ni zero joint?? Lakini hata kama 🙌🙌🙌
2026-07-29 10:53:30
7
dvn_vifaa_umemetz :
Taa kama hiyo ya sitting room ninauza, nipo kariakoo mtaa wa Narung’ombe na Sikukuu
2026-07-10 06:12:24
6
reycakes255 :
Very clean and expensive 🥰
2026-06-18 11:42:29
9
Bugatti 369 :
Vipaji vingi shikamooooni wakuuu🔥🔥😢
2026-08-02 11:06:33
5
🧚♀️ :
Wallahi at this point naogopa hata kuuliza bei za hizi page za finishing mtandaoni 😩kazi ni nzuri sana!
2026-08-02 21:38:19
1
kikomarz :
looks expensive duh
2026-06-17 16:50:47
5
caren1014 :
kwan hii tlez aijakatwa😳
2026-08-14 07:58:52
1
Mr pikipiki :
inatakiwa muwe mnaonyesha hatua kwa hatua ili mtu ajue mlicho fanya
2026-08-24 18:54:21
1
mumbyanca255 :
Mnajua bana🥰
2026-08-02 14:41:37
1
user9878801629346 :
Mm naogopa utasikia mamilioni room 2 tu bei
2026-07-25 14:36:10
1
Dorie,N💄👠👸 :
one day yes
2026-07-31 21:54:08
2
Noonah🐒🥀 :
Mashallah
2026-06-24 05:59:41
1
Abadi M. Masito :
mpo vizuti sana,
2026-08-03 18:37:08
1
lord nicky :
mmeua
2026-07-05 19:32:08
1
Wizzy De Montana :
Naomba namba yako ya simu please
2026-08-07 16:26:37
1
almandochibo84 :
kubwa sana hii wanangu
2026-07-08 00:38:22
1
bi mwana :
ka,i nzuri mashaalah ☺️
2026-07-08 16:21:51
1
By Sokotta :
Kazi Nzuri
2026-06-19 09:22:24
1
nekesa :
Safi
2026-06-19 12:50:54
1
Dr fide :
Watu wanaishi pazuri jamn
2026-08-07 09:50:51
1
Pendo M :
nice and simple😍
2026-06-18 20:51:06
1
BossSultan :
bro nataka hio Plan full YA vyumba 5
2026-07-08 19:22:10
1
HAJRA COLLECTION :
Naomba Niki text please
2026-07-25 17:34:14
0
Gassio :
Very neat 👌
2026-06-18 17:41:01
1
To see more videos from user @vipajivingi_creatives, please go to the Tikwm
homepage.