@chawamata_tv: VIDEO: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameitaka Serikali kupitia upya utaratibu wa kuwataka madereva wa magari makubwa kurejea darasani na kufanya mitihani kwa ajili ya kuhuisha leseni zao, akisema hatua hiyo inaathiri maisha ya madereva wengi na familia zinazowategemea. Akichangia bungeni, Musukuma alisema madereva wengi ni watu wa kipato cha chini ambao maisha yao yanategemea moja kwa moja kazi ya udereva, hivyo kuwalazimisha kukaa darasani kwa wiki kadhaa na kufanya mitihani kunawaweka kwenye mazingira magumu kiuchumi. Alieleza kuwa baadhi ya madereva wameendesha magari kwa zaidi ya miaka 30 bila kuwa na historia ya ajali, lakini bado wanatakiwa kurudi darasani, kufanya mtihani na kukabiliwa na hatari ya kupoteza leseni zao iwapo watafeli. Musukuma alisema hali hiyo inaweza kusababisha baadhi ya kampuni kusimamisha magari mengi kwa wakati mmoja kutokana na madereva kuwa masomoni au kushindwa kufaulu mitihani, jambo ambalo linaathiri shughuli za usafirishaji na uchumi kwa ujumla. “Dereva ameendesha gari miaka 30 hana historia ya ajali, hana tatizo lolote, ana familia zinamtegemea, unamrudisha darasani kusoma wiki tatu halafu ukimpa mtihani akifeli unamwambia arudi nyumbani. Hiyo si sawa,” alisema Musukuma. Mbunge huyo aliiomba Serikali kuangalia upya masharti hayo ili kulinda nguvu kazi ya madereva na kuhakikisha sekta ya usafirishaji inaendelea kuchangia ukuaji wa uchumi bila kuwawekea vikwazo visivyo vya lazima watendaji wake muhimu #ChawamataTV #10KFollowers #Asanteni#DarEsSalaam #Tanzania #Bongo#Habari #HabariLeo #BreakingNewsTZ #TanzaniaNews#BongoUpdates #TzUpdates #TzNews#BongoMedia #MediaTanzania#OnlineTV#RoadTo10#instagramtanzania#TeamChawamata #SupportLocal#TrendingTZ #TanzaniaTrending #ViralTZ#madeintanzaniawithlove

CHAWAMATA TV
CHAWAMATA TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 13:45:37 GMT
83638
4522
159
251

Music

Download

Comments

nasoromahengo
Nyapala la makolo :
Bora tumeitwa muheshimiwa dereva asante mungu kilio chetu kimeanza kusikika
2026-06-16 15:45:30
20
chiza_man
chiza_man :
muheshimiwa atakama we ni Boss wangu naomba unywe soda popote nalipia Boss wangu 🙏
2026-06-16 19:07:21
11
user2737136016261
daisy :
umenena big up sana
2026-06-16 19:41:30
1
michael.manyanda8
Manyanda Msukuma. 🇹🇿 :
Hakili ya Msukuma mmoja. ni sawa na hakili ya wagogo 100.
2026-06-16 20:01:35
8
sebastian.kalandi
Sebastian Kalandi :
ubalikiwe mtumish wa mungu
2026-06-16 20:08:31
3
juma6084
jumat6084 :
mungu akuone mxukuma una ongea ukweli
2026-06-16 18:47:29
11
user8675001307157
user8675001307157 :
msukuma mungu akulinde wewe baba
2026-06-16 20:14:31
6
shabanmalole227
MASHI GANVA 🐕 :
mweshimiwa dereva
2026-06-16 19:19:54
3
johnbarnabas7
johnbarnaba :
Eee mwenyez mungu wetu tunakuomba utulete wabunge kama hawa wanahwo tukumbuka ss tusiyo na wa kutusemeya ss
2026-06-16 15:32:13
6
user8381595695801
nyeusi boy :
nimekubali sana m bunge wahambie
2026-06-16 20:09:12
2
lastyborn.88
LastyBorn 11 :
umetukumbuka kak🙏
2026-06-16 21:14:53
1
musamfinanga1
Mussa mfinanga :
Hawa ndio watu tuna wataka weldone muheshimiwa
2026-06-16 19:56:34
2
alexanderjacob379
alexanderjacob379 :
pongezi kwa Msukuma
2026-06-16 16:40:19
3
evance.meckson.mat
evance meckson matemba :
yaan kaongea point sana
2026-06-16 18:29:32
2
codeswitchert
THABEETH :
well talk sir🙏
2026-06-16 21:40:22
0
ascongeneralascon
said said :
sawa kabisa mh
2026-06-16 19:14:45
1
user4151484988320
Ashimu :
kweli baba sema
2026-06-16 18:55:30
1
laurentikitaly62gmail.co
laurenti kitaly :
kaka salut umetukumbuka san
2026-06-16 19:09:02
1
kadumaraymond
Kaduma Raymond@com :
mtetezi wa madereva ubarikiwe
2026-06-16 16:20:46
2
yuda.mushi
Yuda Mushi :
mungu akuongoze na akulinde muheshimiwa tunashukuru sana kwa kututetea
2026-06-16 19:03:08
1
user5961254450605
shamtembo junior :
safi sana king msukuma
2026-06-16 19:11:30
1
7722adamu
7722@adamu :
kweli kabisa mkuu
2026-06-16 15:41:56
1
user4186692457122
selemani kareem :
mueshimiwa mungu Akupe miaka 1000
2026-06-16 19:16:47
2
willy.tewelawilly
Willy [email protected] :
apo mzee ume nena sana sana
2026-06-16 19:27:36
1
mcmaliyatabu
Mc Maliyatabu :
Mubunge wangu ni msukuma tu
2026-06-16 16:53:49
1
To see more videos from user @chawamata_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About