@digestive_healthysolutio: Afya njema huanza na mfumo bora wa mmeng'enyo wa chakula. Usisubiri ugonjwa uwe mkubwa ndipo uanze kujali afya yako. Je, mara nyingi unasumbuliwa na gesi tumboni, choo kigumu au maumivu ya tumbo? Tuambie kwenye maoni. 👇 #DrMtangiDigestive #AfyaYakoKwanza #TumboLenyeAfya #DigestiveHealth #AfyaBora