@user7717347668185: *Ikiwa Rohani wako humuoni tena katika ulimwengu wa njozi au uhisi uwepo wake sababu huwa ni weye kuingia katika maaswi au uovu na kuacha maamrisho ya Mwenyezi Mungu jambo la msingi kabla ya kufanya uradi huu kwanza ni weye kuachana na machafu kwanza kisha kumrejea mola wako na kufanya maamrisho yake kisha ndio ufanye uradi huu na sheria yake unatakiwa kufanya nyiradi hii kwa kujitenga katika chumba maalumu na iwe ni kuanzia nusu ya usiku na ufusheUban kandar tu ukimaliza utalala katika chumba hiko usiku atakuja katika njozi utamuona kuwa karejea

Sayyed abuu abdillahil Ally
Sayyed abuu abdillahil Ally
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 14:06:41 GMT
7762
294
8
39

Music

Download

Comments

kinedamzee
Kineda Mzee :
na siku
2026-06-16 14:47:52
1
urad.bey
Urad bey :
shekh naomba hiyo tawasul almadad ya shekh omar
2026-06-17 04:01:05
1
shammy.rama
shammy :
asalam aleyku..naomba tuandikie kwa kiswahili tafadhali
2026-06-17 22:58:46
0
baba.achoki
Baba Achoki :
pamoj
2026-06-16 16:44:35
0
user3526240827528
user3526240827528 :
Tuandikie kwa kiswahili tafadhali
2026-06-17 04:36:30
3
sultan.al.khali
Sultan- Al khali :
uache kazi Ufanye kazi
2026-06-16 18:52:41
0
user1123354572658
Mrs babiloni :
kwa heruf shee msaad
2026-06-17 16:10:43
0
To see more videos from user @user7717347668185, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About