Sasa amfiche baadae mseme kamuiba jamani mbonana amna jema hapa tu wengine bado hawaamini je angemficha ingekuaje Eeee mwenyenzi mungu mlinde wema pamoja na mtoto wake
2026-06-17 05:27:10
44
Sophia Jonathan :
nikweli ni Raha sana
2026-06-19 08:28:20
9
user6881327811114 :
ni furaha jamani 🥰
2026-06-17 10:28:45
3
neemadavid935 :
Asipopost mnasena akipost napo shida 🙌🙌
2026-06-18 20:01:47
11
mgalu :
mama hongera sana umejua kujibu
2026-06-19 07:23:11
5
lk :
haswaasaa
2026-06-18 09:06:32
6
Ray Muba Mgogo :
kabisa mama yangu mungu ampe afya njema wema anasikia raha cna muache apost 2
2026-06-17 10:48:10
9
ashanindi :
we mama umesema vana inshallah mungu amuongozee vyema kijana wake