@abdrash_: Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un. Mola atuhifadhi. Ni Hadithi sahihi ya Mtume ﷺ. Imepokewa na Muslim. Kasema: - "Watu watatu Mwenyezi Mungu hatowasemesha Siku ya Kiyama kwa huruma, wala hatowatazama kwa jicho la rehema, wala hatowatakasa, na watapata adhabu kali"