naomba kujua baba, mwana na roho mtakatifu:
baba majukumu yake niyapi, mwana majukumu yake niyapi na roho mtakatifu majukumu yake niyapu?
baba mwana roho mtakatifu majukumu yao yanapingana au Yako sawa,
kama Yako sawa nimuunganiko wa mungu mmoja 🙏🙏
2026-06-19 14:10:34
0
Mtumishi Odimary :
Amen🙏
2026-06-17 06:41:07
1
Mr. Pōsītīvīty :
Naomba Kujua Kwani Ndacha Ni Dhehebu Gani
2026-06-17 03:33:43
2
kishili jr :
sema hayo maandiko yanapatikana kitabu gani maana umepita juu juu2
2026-06-17 06:30:55
1
Chrispine/SABBATARIAN :
Sisi tulifushwa kanisani kwakumtetea Mungu mmoja aliye Baba
2026-06-17 06:23:27
1
MAXIMILIAN :
SOMA 1JOHN 5:8
2026-06-17 06:27:12
1
kishili jr :
mbona unajikanyagakanyaga sana 😁😁
2026-06-17 06:29:53
1
faith Jepchirchir :
but mnaendelea kupoteza waumini
2026-06-17 06:27:43
1
Manyessa Wisdom show :
AMEEN MCHUNGAJI,PIA TUJITAHIDI KUMTAFUTA MUNGU WA KWELI, KARIBUNI KWA PROFILE YANGU TUJIFUNZE WOTE
2026-06-16 15:02:16
3
Ramses :
hatuwataki ss
2026-06-17 08:08:51
1
Triple 's' :
Utatu ni upagani
2026-06-17 06:47:32
1
kabatama :
kwanzawewenikinanani nitajiemutumumojakatikamaandikomatakatifu ambaesimusabato. niko kongo goma
2026-06-17 11:55:53
0
Marwa Elikana :
Teach people today's message of the end times. Readers, if you see all this, lift your heads up. We are in the end times.
2026-06-17 13:18:32
0
Adriano Mngulwi :
sasa mtu akirudi kwa baba ake Kuna tatizo
2026-06-20 16:42:09
0
geraldstanslaus0 :
nimezaliwa kwenye moja kanisa katoliki la mitume kweli nimabayizwa.
mimi mkatoliki
2026-06-21 17:06:58
0
philee karanja :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-21 13:00:55
0
To see more videos from user @nipebiblia, please go to the Tikwm
homepage.