@siasatz: PAMEWAKA BUNGENI WAITARA ASEMA ATUAMBIE YUDA NI NANI? "Anataka kutoboa mtumbwi tuzame wote. Simai atoke humu ndani hatumtaki kwanza atuambie Yuda ni nani. Amewahi kumtukana Mhe Mwinyi kule Zanzibar. Amepata nafasi hapa ya ubunge kwa mara ya kwanza anaomba wabunge tuwe na klabu ikaonekana sisi hatuna vipaumbele na hatukujipanga. Mwambie sumu haionjwi na akome akome akome kabisa".- Mwita Waitara Subscribe Youtube Siasatz30 🙏🏽 #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
hatuutaki muungano zanziba hatufaidiki na lolote musilazimishee
2026-06-16 18:52:11
10
million Mara :
eeeeeee come down 😳
2026-06-16 22:52:57
0
Muhamad Abdalla :
Vchog limewauma kwel
2026-06-16 17:15:00
5
Khalil Haji :
Mbona Nyie Viongozi wenu walipoyasema ya Zanzibar hakuna Alofukuzwa wala Alorudisha Kadi. na ni dhahiri walifanya uchochezi na kuhatarisha Amani. Wacheni kubwata kipumbavu na msizanie CC Wazanzibar tunayasahau na tunayajua. Au ndo mifumo yenu mseme nyie tu cc ni wadogo tunyamaze?
2026-06-16 16:34:55
6
user1762742579423 :
MUUNGANO HATUUTAKI SISI WAZANZIBARI TUMECHOKA NA WATANGANYIKA MHE SIMAI YUKO SAHIHI
2026-06-16 18:06:56
4
MinKarlek Mkorea :
Atoke aende wapi Hatoki mtu hapo
2026-06-16 19:58:30
2
mrswaggar :
hii ndo ccm kaachini
2026-06-16 16:10:27
5
Reform clasic :
alafu hapo bungeni mna tabia mbaya, mtu akiigusa serekali mnatoa taarifa nyingi kumaliza muda wake
2026-06-16 15:48:51
5
Mohammed Khelef :
hatuutaki muungano mbona munalazimisha
2026-06-16 19:03:15
2
Evans Moshi :
piganeni wakuu😂
2026-06-16 17:59:10
2
Daniel Frank :
WENYEWE KWA WENYEWE
2026-06-16 17:14:21
3
Sureboy Nassir :
simai🥰
2026-06-16 18:13:53
1
Shaban :
yuda ndotunamtaka sas
2026-06-16 17:57:29
2
Suleiman kisuley :
simai tulia apo hatolewi Mimi nipo nitakulinda
2026-06-16 18:27:59
2
Director Faustina :
msitufokee buana 😆
2026-06-16 18:54:31
1
toxic boy💀💀 :
muungano ni ujinga amna maana yeyote
2026-06-16 17:53:55
2
MACSAM :
Mpaka hapo atakuwa amekoma🤣🤣
2026-06-16 17:43:45
0
Chodo :
kimeumana
2026-06-16 17:12:33
1
Sir Charles :
safi sana mbunge
2026-06-16 15:32:59
4
️👑🇨🇦 :
mtachanganyikiwa na bdo 💯😅
2026-06-16 17:59:04
1
Ismail Simai Suma :
Mbona unatumia nguvu kubwa na unatumia kipaza
2026-06-16 16:01:20
1
saidimangorosho :
afukuzwe yuda ni nani arudishwe kwao
2026-06-16 16:22:32
1
Erick Cleophas :
Safiii saanaaa Muraaa, aondolewe huyo, kwani yule alaiyesema ilikuwa ni hoja binafsi?? Mbona hamkupinga kauli ya Mzanzibari mliufyata, hovyo sana aisee.
2026-06-16 17:46:44
1
mbape7 :
hawa ha
hawa jamaa kabla hawajaingia bungeni wanakula wanakunywa
2026-06-16 15:23:04
1
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.