hello kondela hapa😂😂😂 sikiliz wimbowang mpya kutok Audiomack😂
2026-08-09 10:32:29
14
KC_💙 :
Tunasikiliza nyimbo zako kwa lazima huko audiomack
2026-06-18 16:31:11
30
baby Ruuh💞💞 :
usema ukwer² unaniuzigi kama nyimbo ikiisha utasikia helo kondela hapa nyimbo yangu. mpya yaani unaniuzi unanifanyag niwe natoa nyimbo kabra haijaisha ili lisije tangazo lako
2026-06-16 15:36:05
33
Browser KIDD. :
Anko 🔥 🤟
2026-06-16 15:34:47
7
faithful girl :
ila hii nyimbo 💜💜💜
2026-06-17 18:37:36
9
Abyud Ndawi Tz :
hii ngoma inaitwaje
2026-06-17 17:54:20
10
double H :
baba tuache audio mack kidg 🙏🤣
2026-06-18 17:28:01
6
@pretty mowana💝💝💤 :
10/10
2026-06-18 15:00:51
6
Mumsafi🥏 :
My favorite song 🔥🔥🔥❤️
2026-06-18 16:08:36
8
mbazzy :
kaka hayoo matangazo Yako audiomack yapungue Sasa ☺️☺️tushajua unajua 😁😁
2026-06-19 12:33:47
10
By.Papy🖤🤍 :
Tunao sema kama kafanana na Rayvanny Chui🐆🐆🐆 Gonga likes nyingi jmn
2026-06-18 14:53:27
15
HELLJOHN 197390$8360@#58+89416 :
mambo kondla me ni shabk yako
2026-06-18 21:10:45
5
_💫XCSIZO👑💥 :
MSANII WANGU🔥🤟🏽
2026-06-18 07:33:00
5
BRM TZ 😎 :
Soon tu tunaanza kugombana na Ads zako Audiomack 😁😁
Tujiandae tu
2026-06-18 05:41:18
9
samwel :
kumbe ww ndo unatusumbua kwenye audiomack
2026-06-17 22:16:10
16
Melloh Tz :
sana kamanda 🔥🔥🔥
2026-06-17 08:44:51
4
Augustinho Albert :
oya unatumia njia gani kuandika
2026-06-18 17:48:56
6
ALPHA 🐺 :
Pw mwanetu
2026-06-17 11:14:25
6
$urey$h khan love :
nakubar kk mzikinwako mzuri cna
2026-06-16 15:54:04
5
🧚♀️pretty-Meeh💦🦋🤪 :
unaniboaga na hellow.naitwa kondela skiliza nyimbo yangu mpya ya. ninininininini sjuw khaaa.kuimba unajua.lakn tupunguzie😂😂😂😂
2026-06-17 22:58:50
5
candy gal🌹🌹🌹 :
my man 🥰🥰🥰
2026-06-16 15:35:03
6
Faque Faque 🔥 :
vip Kaká nakukubali sana tu👍
2026-06-16 15:36:52
7
Triple triple :
@hey
2026-07-11 21:20:27
1
Halo Halo :
والله العظيم انا مجنونه بيك
2026-07-28 16:22:43
2
𝑺𝒕𝒓𝒐𝒏𝒈 𝑾𝒐𝒎𝒂𝒏🪐 :
ايش اسم اللغه
2026-08-07 08:53:20
1
To see more videos from user @kondelatz_, please go to the Tikwm
homepage.