@bbcnewsswahili: Vozinha: Kipa "mzee" aliyeiteka dunia ya soka. Alikuwa shujaa wa Cape Verde. Alionesha kiwango cha hali ya juu na kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi katika sare ya 0-0 dhidi ya Hispania kwenye Kombe la Dunia la FIFA. Mafanikio hayo yalikuwa na maana kubwa zaidi kwa Vozinha kuliko ambavyo wengi wangeweza kufikiria. #bbcswahili #fyp #fy #foryou #kombeladunia #fifa #capeverde #vozinha

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 15:48:49 GMT
107483
6965
52
105

Music

Download

Comments

kazinikazimotors
kazinikazimotors :
Historia yake nimeipenda saana na inafundisha Jambo kubwa saaana Maishani,USIKATE TAMAA KAMWE
2026-06-16 18:31:58
34
duzu_classic3898
duzu3898 :
Happy New year simu yangu ilikuw kwa fundi😁😁😂😂
2026-06-16 19:30:57
2
luke.boy30
LUKE BOY :
never give up
2026-06-16 20:45:03
0
binti_abdul17
Binti Abdul🎀 :
Saivi ni 8.7M
2026-06-16 17:45:56
16
hassankingjr
Bu_hassan 🫁 :
One day Yes 😄
2026-06-16 17:45:04
8
ngwandunyerere
nyerere_tz :
2026-06-16 17:09:00
8
ahmeddylameck
Ahmedyramaar :
vozinha + vitinha
2026-06-16 19:45:49
0
escobar9469
Esco94 :
Anaenda 20M next match
2026-06-16 18:44:41
2
fettie92
Fatmah❤️‍🔥 :
Mi nangoja hiyo miaka 40
2026-06-16 19:58:48
1
rahmet5482
Kileo. :
sahvi ni M 9
2026-06-16 18:25:54
1
nyambaneeric
DELIMS EVENTS AND CATERERS kSI :
Hongera
2026-06-16 20:02:06
0
deveah3
ree♥️ :
2026-06-16 20:12:38
0
ba.kidal.dj
@ba kidal dj :
we umejuaje
2026-06-16 20:00:38
0
user43819810744883
user43819810744883 :
hata mimi nimelia pia
2026-06-16 19:09:21
0
__garliepop
Pee_🧸 :
now
2026-06-16 19:37:27
0
onesmo.geraz
onesmo geraz :
cvvvc
2026-06-16 18:34:19
0
stanleymuasya1
nyati jamo :
vovo
2026-06-16 17:58:24
0
dyso_tz
DysoⓂ️ :
dah 😭😭
2026-06-16 19:35:24
0
eminey_u21
eminey_dc :
50k followers to 6M kwa masaa 6 mitandao shikamoo 🔥
2026-06-16 15:55:35
13
jay809128
JAY (MZEE NI MMOJA) :
unaniuliza nangoja nini kama wajua miaka yangu.....am past his age
2026-06-16 20:22:50
1
josefmwakas
Mwakas Jr. :
Acha tungoje, kama alivyongoja yeye, mafanikio sahihi huja wakati sahihi..
2026-06-16 18:50:57
1
tebi_mama2
TEBI_MAMA2🇿🇦 :
🌸
2026-06-16 19:24:55
0
getudalutabana
schön :
kijana wangu atakuwa mtu mkubwa kwenye soka coz ndio kitu anapenda kuliko kitu kingine
2026-06-16 18:43:39
0
sophysaed7
sophysaed7 :
Funzo kubwa
2026-06-16 17:33:05
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About