@said.bakarmwenezi: Mwakilishi wa wananchi Jimbo la Ziwani Mhe Moh'd Ali Salim akiwa katika uchangiaji wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027

SAID BAKAR,MWENEZI
SAID BAKAR,MWENEZI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 16 June 2026 16:01:02 GMT
20405
719
95
73

Music

Download

Comments

user35459699766710
Alone :
Free ZANZIBAR, One day inshaallah
2026-06-17 00:49:48
28
mr_magobe
Mr.Magobe :
mimi watanganyika nawashangaa wazanzibar hawak muungan mbona mnawalazimisha?? kwanini msivunje au kuna maslah binafs??
2026-06-17 04:07:45
12
mrs.nofel2
Mrs nofel :
wabara kwa kulalamika lkn hawapungui vo Zaid ya kuzid hatuwafukuz ila pungueni kdg enjoy letu dogo
2026-06-17 05:59:17
5
zanzibar_canada_boy
car :
kwani shida iko wapi kwani hili baraza la wakilishi na mawaziri wa zanzibar wapo kwa tanzania nzima au zanzibar. mm ni mzanzibar na nitapambania zanzibar yangu kwa njia yoyote ile nitatea kwa asilimia 100% kama kutetea ni ubaguzi wacha iwee mbona wao wanasema je si ubaguzi
2026-06-16 17:13:58
22
user3034425512523
star :
pia bajet inaongezeka kwa 7bu mnazaliana sana m naiman wabara ndo wanaokuza uchumi wa zanzbar achen kupotosha watu
2026-06-17 04:05:19
5
aln_324
💥p :
viva zanzibar viva
2026-06-17 02:27:16
10
mmangahamad775
what happened 😕 :
watanganyika ni wabinafsi sana
2026-06-17 03:10:27
4
salammindegeleu
Mwanaume rijali :
sisi watanganyika hatuitambui nchi inayoitwa zanzibar
2026-06-17 06:57:28
1
misszanzibar2
MISSZANZIBAR😍 :
Bora haswa looh poooh
2026-06-17 02:19:26
7
omarkhatib3319
Omar Khatib :
Hii imeenda....🥰 Zanzibar
2026-06-17 03:17:00
4
dady1367
Dady@1367 :
polen sana hakuna muungano kuvunjika
2026-06-17 06:00:38
0
www.daniel17
www.daniel17 :
sijajua kwa hizi serikali mbili Nani ataumia zid ila kwa mto mmoja mmoja wazanzibar wengi wataathirika muungano ukivunjika
2026-06-17 04:59:41
1
d.chuwa
D19 :
au ngoja tuzime umeme
2026-06-17 06:13:49
0
t162291
Lost :
free Zanzibar
2026-06-17 00:45:43
11
curvedinwood
curvedinwood :
Tuwakatie umeme kwanza
2026-06-17 05:32:17
0
sahm.ahmad0
sahm ahmad :
nakukubal kiongoz wetu nynnyondiyo viongoz nakukubal san ♥️✨️❤️💖 😍 💕 ♥️✨️❤️💖
2026-06-17 03:14:03
2
henerickjoseph
Henerick Joseph :
Mimi sijawahi kutumia Cha Zanzibar
2026-06-17 04:40:21
0
mrs.nofel2
Mrs nofel :
lkn wabara munafatilia baraza la wawakilish kama linawahusu hili lina husu znz tu
2026-06-17 05:57:20
2
kupatizaboy1
KUPATIZA BOY :
nilicho kivundua ni mengi lakn jengine watu hawapoo sirias baadh ya viongoz lakin pia wawakilushi mda wanopewa mdogooo kutoa maelezo
2026-06-17 03:28:44
2
kasparty1
SAMAKI KASPARTY1 MUSOMA :
jengine nakushukuru wewe kuja kusoma comments
2026-06-17 05:53:18
1
user79051109709373
user79051109709373 :
Ndomana yake
2026-06-17 02:43:17
1
hustler.hustling1
Hustler Hustling :
muheshimiwa unajielewa
2026-06-17 06:22:02
0
iamshedrackloy
theolonicous :
Mzee Ana kitu, asikilizwe
2026-06-17 07:00:33
0
user63444511795094
kuraish bey💯 :
zanzibar ina pesa ww from oman
2026-06-17 06:19:58
0
blaugrana_96
Blaigrana 😜 :
free Man mbowe
2026-06-17 06:35:59
0
To see more videos from user @said.bakarmwenezi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About