@newsupdatemedia: Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameusimasha kazi uongozi wote wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza MWAUWASA pamoja na kuifuta Idara ya Ufundi kutokana na Uzembe Uliochocheachangamoto ya upatikanaji wa Huduma za Maji kwa Wananchi. Waziri Aweso Amebainisha sababu za kufanya Maamuzi hayo wakati akizungumza na Wananchi wa kata ya Kirumba wilaya ya Ilemela akiweka wazi ya kwamba viongozi hao walikosa uwajibikaji. #newsupdatemediatz