Ok basi tufanye unanitumia Ila jua nimekuruhusu unitumie
2026-06-16 19:14:49
51
LovedByJesus ✝️❤️ :
Tell them! Hiii inauma sana, kuna wengine wana normalize kbs wanaona wema wako ni haki yao! Usipowafanyia hivyo unaona kama urafiki unapungua, hakutafuti mpk umtafute 🙌🙆♀️
2026-06-17 03:43:03
114
Triple :
10000000%%%🔥🔥🔥🔥
2026-06-17 18:10:51
0
KANEJA MANGARU :
Sister siyo kulelewa, "TUPO TULIO ZALIWA KUSAIDIA WATU" mbaya zaidi tukipata shida huwa sisi hatuna wa kutusaidia.
2026-06-17 07:23:51
28
Anitha .R . soka ❤️ :
Na kwa bahati mbaya tumewazidi kila kitu 🤌❤️
2026-06-17 06:22:16
69
Teddy 🧸 :
tena ndio baraka zinazidi kwako hawajui
2026-06-16 18:41:51
36
@visionpath :
Dont over do
2026-06-17 04:19:17
6
fanty_dagaa_mwanza ❤️ :
nauza dagaa wa kukaanga kutoka mwanza karibuni sana wateja wangu
2026-06-17 07:58:22
12
@namary_store101 :
Louder please 🥰
2026-06-17 10:40:41
4
aminaعبدالله ٩٩ami :
Shida una msaidia unamsema kwa watu
2026-06-17 19:13:49
0
zex 🔥 :
fact
2026-06-17 04:58:11
4
@Glassguy+255 :
Huyu ni mimi yaaan kusaidia mtu ni kama pumzi yaaan sjui nisemaje
2026-06-17 09:19:56
3
Kiya_Elegant :
unakunywaga juice ya parachichi nikuletee ulipo Kuna namna tumelelewa Jamani 🥺🥺🥺
2026-06-16 19:42:56
11
monaapple store :
Tunakupenda🥰
2026-06-16 19:48:57
6
Sweetie Chassy :
Now I love you…and we r twins sis 🤝🫶🫶🫶
2026-06-17 17:25:07
0
Janielux 🤎 :
on point dada
2026-06-17 12:48:27
0
Ms_Eve🎀 :
Absolutely 💯
2026-06-17 17:50:25
0
ZaynepWalla02 :
Pesa siyo kila kitu kuna utu📌
2026-06-17 08:07:02
4
criol beibs :
naomba wigi
2026-06-17 08:54:15
1
Yasum Mahmoud Darwish :
woow, I love you, akili kubwa sana, bora ungekua mwanaume
2026-06-17 14:03:49
2
Mumy Kimaro :
My dear nimechoka hamna mtu ninaweza kumsaidia then akawa mwema,yaan lazima aniongelee vby cjui nakosea wapi mm.Namuomba Mungu anifanyie wepesi niwe n roho ngumu,
2026-06-17 09:14:01
5
Shenny the hunter 🔥🏹 :
upo sahihi my sister 🫶🫵
2026-06-17 08:12:52
4
DR_MF beauty :
Ndo mana nakupenda dada
2026-06-17 06:13:41
5
To see more videos from user @vipodozi_kariako, please go to the Tikwm
homepage.