@missvicky005: Ila kwanini maigizo yote yale???? na ukweli wanaujua?? ok Mshamleta Baaasij tenaa 🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️ Week Hii Live kama kawaida 🔥🔥 tusikose na tusisahau kusubscribeeee huko Youtube🥰 Link kwa Bio Nywele @mrs dogukan🇹🇿💍🇩🇪 #raisiwagraduates #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #daressalaam #mapenzi
Raisi_wa_graduates
Region: DE
Tuesday 16 June 2026 18:54:01 GMT
Music
Download
Comments
WemaSepetu :
Usininenee uongo please
2026-06-18 08:43:36
48
neka :
mbona kuna picha ya ultrasound mm nliona anafanya hospt? au
2026-06-17 00:51:20
54
kfangirls1 :
bora ata Tumepata First born wa Mange tungetoa wapi zi taarifa😁
2026-07-28 15:45:44
6
linessurasaa :
KIKUBWA MTOTO NI DAMU YAKE♥️
2026-06-17 10:38:43
118
finest_riney :
Mambo niyapendayo😂👌🏻
2026-06-16 20:19:55
15
Dad's Daughter :
nikajua lbd ni mimi tuuu nina wivuuu
2026-06-17 06:18:20
16
Rehema Livoga :
Kumbe auna akili
2026-06-17 03:49:18
63
Tembo :
Incubation zipo kwel 🙏 watu wanafanikiwa
2026-06-17 17:05:47
8
Hania Maliki :
ata mie sijaliaa ila nimemfurahia
2026-06-17 04:15:34
13
Jojo Aquarius 😍 :
Hii nakuamin 90% babee🥰🥰🥰
2026-06-17 05:00:35
12
Miss Lizzie4466 :
aaaaah ila vee hapo umenena dr 🤣🤣bila kusahau kusahau umependeza sana🥰🔥
2026-06-16 20:16:26
20
mimic melanin :
Dada ngozi imeglow inavutia haswaa👌👌
2026-06-17 07:24:54
32
lenniemitumba_home_decor :
Content creator ni yupi tena?
2026-06-17 11:30:16
6
leny :
umeglow mdogo wangu❤️❤️
2026-06-17 06:55:04
5
najma :
mbn tumbo aliacha tu wazi kwenye baby shower🥺
2026-07-09 12:33:21
7
🦋 nawal~bae🦋 :
Umefanan na savanna vee🥰
2026-06-17 05:32:46
7
Sashaseanfred :
Hela kapewa na mama samia🥰
2026-06-17 08:56:33
7
WemaSepetu :
Hunijui sikujui...
2026-06-18 08:43:25
97
teah :
Nimekuelewa sana mrembo wangu
2026-06-17 07:58:23
8
lindah07 :
aaah uyo content creator tushamjua
2026-06-17 17:28:04
10
Tasteview :
Marudio ya live utuwekee na Youtube dia. Kwa niaba ya ambao tunakua kazini muda wa live ya gharama😹
2026-06-17 10:03:13
6
narsisa.nancy.kristina🇹🇿🇳🇱 :
I knew it was fishy 😀😀😀😀😀
2026-06-16 19:40:05
15
user3891844446777 :
sasa unashida gani?
2026-06-17 03:29:11
5
mom joanna😍 :
Kweli cheka tu imeondolewa azam tv
2026-06-17 12:27:49
9
Sharon Michael :
ndio hapo ndio nakukubali
2026-06-16 19:30:12
8
To see more videos from user @missvicky005, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.